hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,545
Wachambuzi wa mambo ya kisiasa ndani ya chama hicho wanasema, kuachiwa huru Lowassa kunathibitisha udhaifu wa mwenyekiti wa chama hicho, katika kusimamia chama chake.
Matumaini ya kuwaibia Watanzania mali za umma km anavofanya huyo Lowassa wenu
LOWASA HAWEZI kuchukua nchi,fisadi mkubwa na marafiki zake wakina chenge
Lowassa ni fisadi anaenunua urais, haieleweki anaenda ikulu kufanya nn huyu mtu
Hebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!! Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa magori yote ya kifisadi yataachwa yaingieAnaenda kuwatumikia waTanzania wanaohitaji Tumaini Jipya.
Tunaianza Safari ya Matumaini.
Fisadi papa wa richmond na jambazi sugu lowasa hawezi kuwa rais
LOWASA HAWEZI kuchukua nchi,fisadi mkubwa na marafiki zake wakina chenge
Lowassa ni fisadi anaenunua urais, haieleweki anaenda ikulu kufanya nn huyu mtu
Hebu tafadhali niambieni ni lini huyu Lowasa amewahi kukemea ufisadi?? Mimi huwa naangalia Bunge letu linavyoendesha.Yaani madudu yote yaliyopitishwa pale Bungeni kwake ni poa??.ni wapi aliwahi kumkemea walau Chenge na mafisadi wengine kwa ufisadi wao?? Au hata huko nyumbani kwake Monduli ni lini kawa mkali kwa hilo??? Kikwete mwenyewe alikubali Lowasa ajiudhuru kwa ufisadi wa Richmond na miaka ya kalibuni Lowasa,Chenge na Rostam kwa mdomo wa huyo Kikwete tuliambiwa kuwa ni magamba makuu na inabidi wayavue!!! Sasa huu usafi wa Lowasa uko wapi??? Yaani kumchagua Lowasa ni sawa na kutokuwa na gorikipa magori yote ya kifisadi yataachwa yaingie
Huyu Lowasa ni lini aliipinga katiba ya Chenge na mwenzake Sitta?? Utaniambiaje kuwa Lowasa atakuja kuwasikiliza wananchi wakati maoni ya wananchi hukutaka kuyatetea pale Bungeni??Hakuna hata siku moja alitoa hoja pale ktk bunge la katiba..sasa Lowasa utanipa hoja zipi za kukuamini kuwa yeye atakuwa mtu wa Watanzania??
Miaka 10 ya iliyopita imetosha tunataka kwenda mbele
Sasa, kama Lowassa akiwa rais atawaweka mahabusu Kikwete, Ridhimani na Salma,mwache Lowassa mwenyewe aseme. Hii ni posting ya fitina na uzabizabina.