Lowassa amtaka Zitto UKAWA

Lowassa amtaka Zitto UKAWA

CHADEMA kuungana na Zitto? Hii itakua ngumu kumeza kwa CHADEMA.
 
Huu sasa utani, kabla hata hajakaribishwa rasmi tayari keshaanza kuongoza Chama kwa maagizo. Akiingia si ndiyo ataanza na kufukuza wanachama, ili abaki na aliohama nao.
 
Hatumhitaji huyo mamvi.. We can do without him.. Aende ACT akaungane na huyo kijana wake
 
Ukiwa vitani...msaada wowote unaokusaidia kumshinda adui ni msaada tosha....cha muhimu tu ni kuangalia kwa jicho la ndani sana na kutafakari kwa kina kwani misaada mingine huwa ni ya kimamluki...

Angalizo tu
 
Lowasa anamtaka kwa sababu zifuatazo,kuondoa dhana ya Ukaskazin,kuteka kundi la vijana cos Slaa,Mbowe na Lipumba wote ni wazee na mwisho umoja.
 
Lowasa anamtaka kwa sababu zifuatazo,kuondoa dhana ya ukaskazin,kuteka kundi LA vijana cuz slaa,mbowe na lipumba wrote ni wazee na mwisho umoja.

sababu mufilis kabisa hiii,nina imani unatania tuu,ila km upo siriaz ww kichwani ni boks,yaan mweupe.
Kumchukua ayatol...a negative ni nyingi kuliko positive impact
 
Kama Lowassa anataka kupewa fursa ya kugombea asiwape wenzake masharti otherwise arudi CCM tuone maana Zitto ni tapeli aubaingie ACT agombee lkn co kubebwa alafu unakuwa na masharti ya kijinga.

Chadema wakimrudisha Zitto kwenye kambi yao na withdraw support yangu kwao
 
Back
Top Bottom