Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
Weng Mnaochangia Hapa Ni Wapuuz Hata Mgombea Wenu Mwenyewe, Slaa Kakomaa Na Lowassa Kwakuwa Anagombea Urais Uku Ana Kashfa Nyingi, Sasa List Of Shame Waliobak Wanagombea Urais?
ccm imepoteza mwelekeo
hoja a kitoto kabisa hii anatoa lowasa, hvi kwa hoza hz za kilofa alafu ndio awe raisi wa nchi?? hatumchagui lowasa labda awe katuloga
Ndivyo alivyo shauriwa na mshauri wake mkuu.
View attachment 284174
kinachomsumbua dr. slaa ni kukosa nafasi ya kugombea urais hakuna kingine...
Wa Ikoma
Ndugu zangu watanzania
Napenda mjue kuwa kila mtu afanyapo maamuzi ana lengo. Nasababu ya kufanya hayo
Mimi niiliimbia serikali iliyokuwa juu yangu kipindi ni waziri mkuu
Kuwa wavunje mkataba na kampuni hewa Richmond lakini uongozi wa juu Yangu ulinikatalia pendekezo lile na Mimi nikaonekana ndio mhusika jambo ambalo halina ukweli wowote
‪#‎Mimi‬ sihusiki na sakata la Richmond na sitaacha kusema
Na Mungu ndie anaenijua zaidi
Sasa wote na huyo anaeita waandishi na kunichafua kwanini anishitaki magazetini badala ya mahakani na kipindi niko CCM haku wai kunichafua hivi
Watanzania tuwe waelewa na watulivu na tuendelee na safari yetu hadi ikulu naomba tuungane pamoja tuitoe serikali ya CCM madarakani
Nawatakia Jumapili njema
Edward Lowassa
Lowassa ndiye Rais wa JMT kuanzia 2015.
ni haki yako kuchagua, ila familia nao usiwaburuze, waache wachague kwa utashi wao, CCM ushindi wa kimbunga upo palepale,
Jina jipya tamu sana hili Dr BLAA.
Ukiona hata mtoto wako wakati anakuwa hajawahi kusingiziwa kitu chochote hata siku moja wala hajawahi kukuingiza hasara hata ya kupasua grasi ujue huyo mtoto wako akikua atakuja kuwa hana akili vizuri.
Labda rais wa jf...