Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,624
- 164,682
Jambo ambalo wengi hawajagundua hapa ni kwamba,JK hamtaki Lowassa na hata ukipima kauli zake mbalimbali utagundua ukweli huu.Ndugu SS kwani hujui JK haaminiki na ni ndumila kuwili wa hali ya juu sana?
mbona hukumshangaa lowasa na siasa zake za kiujima za kuwalipia wahuni nauli eti kuja kumuomba agombee urais , WAKATI KILA MTANZANIA ANAFAHAMU KWAMBA YEYE MWENYEWE ( TENA BILA KUOMBWA HATA NA WATU WAWILI ) anautaka urais tangu 1995 , hadi alipotimuliwa na Nyerere .wote tumemshangaa including myself,amelipuka sana
Bavicha mnachojua ni matusi tuu hakuna lingine na sikutegemea lingine zaidi ya matusi...october si mbali..
Mzee Mamvi anaweweseka hizo hela anazotoa posho angezitunza watoto wake waje wamsadie kwa kumuhudumia atakapokuwa nyuma ya nondo mapema november UKAWA itakapokuwa mjengoni.
Nyerere alivyosema kuwa Lowasa mjinga hajakosea kabisa sasa ndiyo naanza kuelewa,
kwani Lowasa hajui kuwa nape ni msemaji wa chama,
Kwani kasema mangapi ambayo hayatokani na kikao au vikao.
Huyu Nape siku Lowasa akiwa Raisi,basi Nape atajikuta hana ajira.Nape anahakikisha Lowasa asipitishwe ili walau apate ukuu wa mkoa kutoka kwa Membe,Magufuli
Mwisho wa Lowasa umefika rasmi , hata hivyo ccm wamechelewa sana kumfukuza huyu jamaa , japo hiyo haiwezi kuwaokoa na moto wa UKAWA hapo octoba .
Msaada, mwana siasa anakuaje "natural"?Tatizo Nape kwenye hili swala pamoja na kuwa msemaji wa chama hayuko natural toka zamani..ndio maana ata kama anafanya kazi yake wengine wanadhani anafanya kwa sababu binafsi!
NB:Hili swala haliwezi kuwasaidia UKAWA kwenda ikulu na wala wasijidanganye ...Rais wa nchi hii hawezi kutoka nje ya CCM..
Ngoma inogile. Bado makamba atapewa vidonge na mzee wa maamuzi magumu
Msaada, mwana siasa anakuaje "natural"?
Lowasa anatumia nguvu kuliko akili, amekosea timing kabisa atapigwa chini mda si mrefu na atapata presha kwa vijisenti vyake alivyotawanya kama njugu
Wachagga si ndio wanaitwa "Mangi", mpare anakuaje Mangi? Au wewe kila mtu kwako ni Mangi?Naamini alimaanisha neutral- hoji vitu vya msingi mangi!!
keshapewa tayari kaambiwa akijibiwa kwa ukurasa mzima wa gazeti ni kumpa heshima isiyostahili! sema bado kikwete anayewatumia hao kina NAPE na wengine kama vile wachangiaji wa JF walivyojificha nyuma ya key board kwa majina bandiaNgoma inogile. Bado makamba atapewa vidonge na mzee wa maamuzi magumu
Wachagga si ndio wanaitwa "Mangi", mpare anakuaje Mangi? Au wewe kila mtu kwako ni Mangi?