Lowassa amenifunza kutokata tamaa ktk Maisha

Lowassa amenifunza kutokata tamaa ktk Maisha

Big up Lowasa dont give up Sir. Unapitia njia zile zile za manyanyaso,shutuma za uongo na matusi kama alizopitia Jacob Zhuma.
 
Ww Je umejifunza nn kutoka kwa Lowasa

Kuchukia mafisadi kwa nguvu na akili zangu zote na ktk muda wote wa maisha yangu sitokua upande wao.
Tanzania kwanza mambo mengine badae
 
Nimejifunza kuwa ili dhahabu iwe na thamani na iingie sokoni lazima ipitie moto mkali sana.......Mandela aliitwa gaidi na majina kibao, matokeo yake amepewa heshima isiyo kifani, na yote hiyo ni baada ya uvumilivu usio wa kawaida.
 
Huna ego ya kujilinganisha na Lowassa wewe. We tafuta hela kwanza (hata kama ni kwa kuiba) mengine haya yaache. Usione utajiri huu wa kutisha watu wametenda mambo mengi ya kutisha. Na KAMWE usimlinganishe Lowassa na Madiba. Historia ITAKUCHEKA!!!
 
Kama ww ni kijana , ni hakika kuna mafunzo makubwa sana, hasa yeye kuwa tajiri na mawanasiasa, of course ni mtu
mwenye uwezo wa hali ya juu na determination kubwa kwenye maisha
 
Kama ww ni kijana , ni hakika kuna mafunzo makubwa sana, hasa yeye kuwa tajiri na mawanasiasa, of course ni mtu
mwenye uwezo wa hali ya juu na determination kubwa kwenye maisha
Suala siyo kuwa tajiri bali utajiri huo umepatikanaje. Hata wewe kama ni MD jaribu kuwa unaiba na kuvuna figo za wagonjwa wakati wa operesheni. Bila shaka utatajirika sana lakini kamwe hutakaa uwe inspiration kwa mtu ye yote mwadilifu except hao majizi wanaokusaidia kwenye kuuza hizo figo unazovuna.

Inashangaza mtu msomi unayejiita Dr. unageuka na kuwa bendera fuata upepo na kuwa sehemu ya jamii inayoua kibaka wa kuku kwa kumvisha tairi shingoni na kumchoma moto na wakati huo huo ikishabikia na kuabudu fisadi la mabilioni. Shame on you sir!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom