Lowassa amefeli kujipambanua anapenda madaraka(Power).

Omuchimati

JF-Expert Member
Aug 23, 2014
427
202
Ukiangalia mwanzo wa kabisa Mhe Edward Ngoyai Lowassa alipoibuka katika duru la kutaka kugombea Urais ndani ya ccm alikuwa na nguvu ya kujipambanua sababu alikuwa na uwezo huo,na uwezo huo aliupata ndani ya chama na serikali,aliongea kwa mbwembwe nyingi sanabu chama cha mapinduzi kilimbeba ukizingatia watu wengi na wa muhimu walimuunga mkono kwa nguvu zote na kwa akili zao zote,huyo ndiye Lowassa wa ccm ambaye alisema yeye hatoweza kuhama chama na kama kuna mtu hampendi ndani ya chama aanze kuhama yeye kwani yeye hana mpango sababu chama ndicho kilichomlea alijipambanua kwa ujasiri mkubwa.

Lakini Baada ya chama kumkataa na kumtupilia mbali kutokana na kutokukidhi kuwa na sifa za kuwa mgombea,Lowassa alishindwa kuyaishi maneno yake aliyoyatamka kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa kamwe hawezi kuhama ndani ya chama cha ccm,huu ni uthibitisho wa kwanza kuwa Lowassa hawezi kuishi anachotamka na hii inadhiirisha anachosema kamwe hakitoki ndani ya nafsi yake.

Ukimsikiliza kwa makini anaonesha hajui kuwa kutenganisha maisha yake binafsi na ya chama chake,lowassa anahubiri leo mabadiliko ndani ya Chadema(Ukawa),lakini yeye alishindwa kubadilika toka mwaka 1995 alipokemewa na Mwalimu jullius Kambarage Nyerere,Lowassa alimchukia Mwalimu na hata Mwalimu alipofariki alifanya sherehe kubwa kusheherekea kifo cha Mwalimu sababu aliamini kikwazo kilichokuwa kinamzuia kimeondoka.,huu ni uthibitisho wa pili ni kwamba Lowassa anahubiri mabadiliko ambayo yeye mwenyewe yalishamshinda.

Wakati wanamuondoa katika uwaziri mkuu Lowassa alipopata nafasi japo ya kusema maneno kidogo,aliongea kwa gadhabu,akisema ametafakari na ameamua kumwandikia barua Rais,na amegundua shida ni uwaziri mkuu(power),kwa hiyo anajiuzulu,hapo ukichambua kwa makini ni kwamba Lowassa aliondoka kwa uwaziri mkuu pasipo kupenda hakutambua kuwa huko ni kuwajibika kisiasa kwa manufaa ya watanzania,yeye alihisi ananyang'anwa uwaziri mkuu wake,Lkn sio wa watanzania,so he is the man who loves to own power,kwamba ni mtu anaependa madaraka,so lowassa anatafuta madaraka tena kwa hacra na ghadhabu sababu anaamini kaonewa.
 
Ndorobo weye! Lowassa ni mwana siasa, na mwanasiasa yeyote asiyetaka kuchukua mamlaka ya dola, basi huyo siasa sio mahali pake, aende ferry kigamboni "Akapae" samaki, ondoa hapa akili za kukaririshwa utadhani umefundishwa na mwalimu wa Magufuli!!
 
Ukiangalia mwanzo wa kabisa Mhe Edward Ngoyai Lowassa alipoibuka katika duru la kutaka kugombea Urais ndani ya ccm alikuwa na nguvu ya kujipambanua sababu alikuwa na uwezo huo,na uwezo huo aliupata ndani ya chama na serikali,aliongea kwa mbwembwe nyingi sanabu chama cha mapinduzi kilimbeba ukizingatia watu wengi na wa muhimu walimuunga mkono kwa nguvu zote na kwa akili zao zote,huyo ndiye Lowassa wa ccm ambaye alisema yeye hatoweza kuhama chama na kama kuna mtu hampendi ndani ya chama aanze kuhama yeye kwani yeye hana mpango sababu chama ndicho kilichomlea alijipambanua kwa ujasiri mkubwa.

Lakini Baada ya chama kumkataa na kumtupilia mbali kutokana na kutokukidhi kuwa na sifa za kuwa mgombea,Lowassa alishindwa kuyaishi maneno yake aliyoyatamka kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa kamwe hawezi kuhama ndani ya chama cha ccm,huu ni uthibitisho wa kwanza kuwa Lowassa hawezi kuishi anachotamka na hii inadhiirisha anachosema kamwe hakitoki ndani ya nafsi yake.

Ukimsikiliza kwa makini anaonesha hajui kuwa kutenganisha maisha yake binafsi na ya chama chake,lowassa anahubiri leo mabadiliko ndani ya Chadema(Ukawa),lakini yeye alishindwa kubadilika toka mwaka 1995 alipokemewa na Mwalimu jullius Kambarage Nyerere,Lowassa alimchukia Mwalimu na hata Mwalimu alipofariki alifanya sherehe kubwa kusheherekea kifo cha Mwalimu sababu aliamini kikwazo kilichokuwa kinamzuia kimeondoka.,huu ni uthibitisho wa pili ni kwamba Lowassa anahubiri mabadiliko ambayo yeye mwenyewe yalishamshinda.

Wakati wanamuondoa katika uwaziri mkuu Lowassa alipopata nafasi japo ya kusema maneno kidogo,aliongea kwa gadhabu,akisema ametafakari na ameamua kumwandikia barua Rais,na amegundua shida ni uwaziri mkuu(power),kwa hiyo anajiuzulu,hapo ukichambua kwa makini ni kwamba Lowassa aliondoka kwa uwaziri mkuu pasipo kupenda hakutambua kuwa huko ni kuwajibika kisiasa kwa manufaa ya watanzania,yeye alihisi ananyang'anwa uwaziri mkuu wake,Lkn sio wa watanzania,so he is the man who loves to own power,kwamba ni mtu anaependa madaraka,so lowassa anatafuta madaraka tena kwa hacra na ghadhabu sababu anaamini kaonewa.

Awe na hasila au acheke nitamchagua tu
 
Anahoji kwa nini Namelock amebaki Ccm wakati yeye Lowassa alikatwa Dodoma, je Lowassa angepitishwa halafu Namelock akakatwa je Lowassa angejitoa? Ana asili ya kupenda kutukuzwa
 
Nyie magamba mwaka huu Lowassa amewakaba koo kisawa sawa !! Lowassa amejipambanua na kueleweka kuanzia mijini hadi vijijini !!! Lowaassaaaaaa !!!!! Mabadilikooooooooo !!!!!
 
Ukiangalia mwanzo wa kabisa Mhe Edward Ngoyai Lowassa alipoibuka katika duru la kutaka kugombea Urais ndani ya ccm alikuwa na nguvu ya kujipambanua sababu alikuwa na uwezo huo,na uwezo huo aliupata ndani ya chama na serikali,aliongea kwa mbwembwe nyingi sanabu chama cha mapinduzi kilimbeba ukizingatia watu wengi na wa muhimu walimuunga mkono kwa nguvu zote na kwa akili zao zote,huyo ndiye Lowassa wa ccm ambaye alisema yeye hatoweza kuhama chama na kama kuna mtu hampendi ndani ya chama aanze kuhama yeye kwani yeye hana mpango sababu chama ndicho kilichomlea alijipambanua kwa ujasiri mkubwa.

Lakini Baada ya chama kumkataa na kumtupilia mbali kutokana na kutokukidhi kuwa na sifa za kuwa mgombea,Lowassa alishindwa kuyaishi maneno yake aliyoyatamka kwa kinywa chake mwenyewe ya kuwa kamwe hawezi kuhama ndani ya chama cha ccm,huu ni uthibitisho wa kwanza kuwa Lowassa hawezi kuishi anachotamka na hii inadhiirisha anachosema kamwe hakitoki ndani ya nafsi yake.

Ukimsikiliza kwa makini anaonesha hajui kuwa kutenganisha maisha yake binafsi na ya chama chake,lowassa anahubiri leo mabadiliko ndani ya Chadema(Ukawa),lakini yeye alishindwa kubadilika toka mwaka 1995 alipokemewa na Mwalimu jullius Kambarage Nyerere,Lowassa alimchukia Mwalimu na hata Mwalimu alipofariki alifanya sherehe kubwa kusheherekea kifo cha Mwalimu sababu aliamini kikwazo kilichokuwa kinamzuia kimeondoka.,huu ni uthibitisho wa pili ni kwamba Lowassa anahubiri mabadiliko ambayo yeye mwenyewe yalishamshinda.

Wakati wanamuondoa katika uwaziri mkuu Lowassa alipopata nafasi japo ya kusema maneno kidogo,aliongea kwa gadhabu,akisema ametafakari na ameamua kumwandikia barua Rais,na amegundua shida ni uwaziri mkuu(power),kwa hiyo anajiuzulu,hapo ukichambua kwa makini ni kwamba Lowassa aliondoka kwa uwaziri mkuu pasipo kupenda hakutambua kuwa huko ni kuwajibika kisiasa kwa manufaa ya watanzania,yeye alihisi ananyang'anwa uwaziri mkuu wake,Lkn sio wa watanzania,so he is the man who loves to own power,kwamba ni mtu anaependa madaraka,so lowassa anatafuta madaraka tena kwa hacra na ghadhabu sababu anaamini kaonewa.

Nani asiyependa madaraka!!watu wanapiga pushup za kubong'oa majukwaani kisa ni kutafuta madaraka.mmechelewa na hizo propaganda zenu za kutumwa.rais ajae ni lowasa.ukawa oyee!!
 
At least alikubali kuwajibika or whatever the hell you call it...Akina Pinda pamoja na skendo nyingi za ufisadi kama wa ESCROW hawakutaka kuachia ngazi hata pale walipotakiwa kufanya hivyo bungeni.
 
Mwanasiasa ambae hapendi madaraka. Inabidi aachane na siasa akauze mkaa.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom