Lowassa alirudisha kadi ya CCM?


Kumbe ni taarifa za kaminika TUMEZIPOKEA na tutazijibu 2015**10*25
 
 
Hii hoja ya kurudisha kadi mbona ilishaongelewa sana. Kadi ni mali ya mtu. Katiba za vyama zipo clear kuhusu uhai/ufu wa uanachama wa mwanachama na haiongelei suala la kurejesha kadi ya chama chako cha awali. Upo na access na internet lakini hutaki ku-download na kusoma katiba za vyama husika zinasemaje? Nenda Lumumba kaombe picha za wafuatao wakiwa wanarudisha kadi; Makongoro Nyerere, Steven Masatu Wassira, Amani Kaborou, Masumbuko Lamwai etc
 
Angalia kadi yako nyuma imeandikwaje! Ni mali ya anaelipia.
 
Ukweli gani? Wazee Wa ccm unafiki tu ina maana hayo yakitendeka alikuwa nje ya nchi au wanajinusuru kwanini hakukemea anakumbuka shuka kumekucha unafiki tu hata kwa wakongwe sijui baada ya nyerere baba wa Taifa nani?
 

waulize Wasira na Makongoro Nyerere walirudisha kadi wakati wanatoka Ccm na kwenda upinzani ? Na je walipotoka upinzani kurudi Ccm walirudisha kadi ? LOWASA alisema majina ya waliomdhamini ccm wapatao laki 8 alisema atapeleka majina yao kwake kwa ajili ya kumbukumbu nadhani ni pamoja na kadi ya ccm na yale mashati ya kijani
 
Acheni kutokwa na povu,kadi ni mali ya mwanachama,maamuzi ya kuitupa,kuichoma au kuitunza ni yake
 
Maswali mengine ni ya kitoto, je na wale walioamua kuzichoma kadi za CCM unawaongeleaje? Kama Lowassa kaamua kuichoma kama takataka ulitaka mpaka akualike ili ushuhudie?????????????????????:majani7:
 
Utaratibu umeandikwa wapi
 
Maswali mengine ni ya kitoto, je na wale walioamua kuzichoma kadi za CCM unawaongeleaje? Kama Lowassa kaamua kuichoma kama takataka ulitaka mpaka akualike ili ushuhudie?????????????????????:majani7:

"waliochoma kadi ni ukawa waliopata kadi hizo kwa ulaghai ili walionyeshe kwenye vyombo habari baadae
 
NIMEKUTA WATU WAKIBISHANA KUWA MH LOWASA KUENDELEA KUKAA NA KADI YA CCM BADO NI MWANACHAMA HAI NA KADI YAKE KALIPIA MPAKA 2025

NA PICHA ZAKE BADO ZINATUMIKA KWENYWE WEBSITE YA CCM

WATU WANA HOJI


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…