Lowassa alikuwa anatapa, sasa anatapatapa

Lowassa alikuwa anatapa, sasa anatapatapa

kwani akiamua kuia ccm na ukiona imekufa ndio itakuwa nini?
 
Huyu nyerere ni uzao wa baba wa taifa? Mbona anamwaibisha mwasisi wetu ambaye wengine ktk imani pia tunamweshimu kama mwenye heri!
 
Nasubiri kwa hamu kuona atafanya nini next?
Kwani anahitaji tena kufanya kitu...aliyoyafanya hana haja tena ya kuongea ila kuangalia.taayri avalanche imeshaanza by the time barafu zinafika chini kila kitu kinfagiwa kabisa.Sasa hivi anakausha tuu halfu CDM wanatangaza tuu wanaokuja kila kukicha.CCM waendelee mfunga mdogo .
 
Pole yako mkabila na mkanda wewe...bahati mbaya sana Bado Lowasa Nira shingoni pa CCM wapuuzi wakuu.Anawatosha kuwaweka busy hadi mjikute nje ya uwanja.Mlizoea wafanyia wengine sasa ni kwenu.Mlizoea piga vibao kila kitu sasa mmepiga bavi kibao .

Acha ushamba
 
Makongoro amedhulumiwa kuwa rais. Lakini yeye halalamiki Kama Lowassa.
Andrew Nyerere ni kweli Baraza la usalama lilimpendekeza ...majina ya ...
1.makongoro Nyerere
2. Augustine mahiga
3.augustine ramadhani
4. asha rose migiro
5. Mizengo Pinda

Hawa ndio walitakiwa kupigiwa Kura mwenye NEC .....majina ya ....ya kikwete aliyaibua mfukoni Kama mkakati wa kumpa Membe .....magufuli alimchomeka akijua wazi Hana ushawishi Ndani ya chama na hangepenya 3 bora ....matokeo yake akapewa Kura za hasira na watu wa lowassa ...

Magufuli kwenye Baraza la usalama ( kamati ya ulinzi na usalama ) hangeweza kupita kwa kuwa vetting bado Inatia Shaka Uraia wa baba yake ...ambaye ni muhamiaji usukumani aliyeoa binti wa Kisukuma
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom