View attachment 219676
raisi wa monduli
Ww mzima?
Sass hivi una raja gani rasilimali kuuzwa kama ujugu.full escrow
View attachment 219676
raisi wa monduli
Baba akija nyumbani unaruksa kumuuliza?ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
ameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
Taratibu mkuu , mimi unanilaumu bure mjomba
! Masuala yote haya yaliletwa na kamati ya mangula , na kuna tetesi kwamba ile adhabu imezaa adhabu nyingine , sasa mimi nahusikaje huko ?
Kwani alisimama na kuongea! Kama hakufanya hivyo basi ni sawa. Ana uhuru wa kwenda kokote. Na hawakukatazwa kutohudhuria sherehe yoyoteameonekana kwenye vyombo mbalimbali akiwa miongoni mwa wageni kwenye JUBILEE YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA NGALALEKUMTWA , LAKINI IKUMBUKWE KWAMBA CHAMA CHAO CHINI YA KAMATI YA MANGULA KILIWAONYA WALIOITWA WASAKA URAIS kwa NJIA ZA PANYA KUTUMIA SHUGHULI KAMA HIZI ILI KUTAFUTA KUUNGWA MKONO , SASA CHA KUSHANGAZA AMEONEKANA KWENYE SHUGHULI AMBAYO SIDHANI KAMA WABUNGE WA KIGENI WALIALIKWA ! JE ADHABU YAO IMEISHA ?
huwa najiuliza sana, hivi lowassa anautafuta urais wa nini wakati afya yake imedhoofu kiasi hicho? Na kama urais ndio unatafutwa hivyo, basi tujiandae kwa mateso.
Lowasa anafaa sana. Hatutaki raisi msanii mwaka huu, tunataka ngangari, mwenye kuthubutu, muwajibikaji, asiyekubali kushindwa. Watu wanajiuliza kwanini haachi? Jibu ni kwamba anaamini katika maono aliyonayo na kwamba haoni mtu anayeweza kutekeleza yale anayoona ni ya maslahi kwa wananchi ndio maana hakubali kukata tamaa. Hii ni roho ya shujaa, jogoo hafi kwa utititri. Mwanamme hafi kwa majungu labda mwanamke
View attachment 219676
raisi wa monduli
minyoo imejaa huko.Nimesoma mahali humu jamvini kuwa EL anahali mbaya ya afya, jee hicho kitambi ni utapiamlo? Au ni nini jamani?
ni kweli kwenye richmond alichapa kazi nzuri sana kutuibia pesa zetu.Kiongozi makini na mchapakazi