Lowassa alifuata nini Iringa?


kwahiyo asiende kusali? yeye ni mkristo kama mwingine yeyote.hata mimi ningekuwa na nauli ningeeda kushiriki misa hy.hakuna alichovunja.
 
we ni -------- sana

ana haki ya kufanya mambo binafsi

sijasikia unaongelea any other people wanaoonekana kwenye hafla??

this irritates sana
Pole mkuu , binadamu tumeumbwa kudadisidadisi ili tuelewe wala hatukulenga kumkwaza yeyote , ndio dunia ilivyo mkuu .
 
mbona haeleweki dhehebu lake kwa gwajima, katoliki, lutheran, tb joshua au upako?

Hahaha, EL ni kama americans, hana rafiki wala adui wa kudumu, ila ana interest za kudumu kuwa raisi wa nchi hii, hata msikitini yuko radhi aende akaswali ijumaa moja ili a win kura za waislam, BY HOOKS AND CROCKS, anataka uraisi.
 

Kwani aruhusu kuhudhuria bila kualikwa Erythrocyte
 
Last edited by a moderator:
we ni -------- sana

ana haki ya kufanya mambo binafsi

sijasikia unaongelea any other people wanaoonekana kwenye hafla??

this irritates sana
Taratibu mkuu , mimi unanilaumu bure mjomba
! Masuala yote haya yaliletwa na kamati ya mangula , na kuna tetesi kwamba ile adhabu imezaa adhabu nyingine , sasa mimi nahusikaje huko ?
 
Lowassa ni rais mtarajiwa wa jmt
ccm inalitambua hilo,
wapinzani wanalitambua hilo,
watanzania wanalitambua hilo
na dunia nzima inatambua hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…