Lowassa akiwa leo Hedaru

amilyroley

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
621
Reaction score
1,200
Amefanya mikutano 6 Leo na kwenda kuweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo.

Lowassa anakimbiza mwizi kimyakimya bila gita bila msanii, nyomi kama kawaida yake tushaizoea.

Jumamosi Arusha itatetemeka jembe linatua.



 

Attachments

  • 1444153448557.jpg
    13.9 KB · Views: 4,834
  • 1444153464702.jpg
    27.2 KB · Views: 4,668
Amefanya mikutano 6 Leo na kwenda kuweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo. Lowassa anakimbiza mwizi kimyakimya bila gita bila msanii, nyomi kama kawaida yake tushaizoea. Jumamosi Arusha itatetemeka jembe linatua.



 
Safi sana, kimbiza gamba hizo na mafuriko yao ya kutengeneza
 
Duh kweli LOWASSA ni noma yani ni slow but sure kuja kushtuka ikulu hii hapa
VIVA UKAWA!!!
 
Halafu kinachonifurahisha kwa sasa Mh. Lowassa anaonekana mwenye afya njema na maCCM hayana tena cha kuzungumza na push up yamepunguza baada ya kuona hazilipi tena.

Ukawa ni dawa Sisiemu ni sumu. Yaani kadiri siku zinavyosonga akiwa ndani ya Ukawa anafarijika, kwa nini afya isiwe njema. Waache wapiga pushup wakiteguka viuno India wataisikia Tbc na Rfa
 
Ripota wa ITV anaeandamana na Lowassa hafai. Nashauri timu ya kampeni ya Lowassa wampige chini huyu dogo watafute mjanja kama Buhohela
 
Hedaru hakuna kulala hadi mabadiliko...!






 
Lowasa anawazidi CCM akili ndio maana wanatumia pesa nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…