Lowassa akichaguliwa, atarudi CCM Oktoba!

Lowassa akichaguliwa, atarudi CCM Oktoba!

chezea lowasa,atainunua kamati kuu ya chadema na mbowe atapigwa chini haraka sana.....

yaani ikitokea lowasa kawa rais,IMEKWISHA.....hakuna mtu wa kumletea kiswahili kirefu tena....
 
Kuna wakati najaribu kuwaza mwenyewe, hivi hawa akina Mbowe, Lema, Tundu Lissu, Mnyika, Msigwa etc wanajua anachowawazia Lowasa moyoni mwake? Maana walizunguka karibu nchi nzima wakimwita fisadi na leo hii ameingia kwao kawapa na pesa zake na wamempa nafasi ya kugombea cheo cha urais. Nahisi akipata anaweza kugeuka ghafala na kuwashughulikia hawa watu. Ukiangalia hata sasa hivi kwenye kampeni namuona angalau Mbowe lakini ameshasuka team yake ya wana CCM B (Sumaye, Mgeja na Masha) n











tutashuhudia senema kali sana,hawataamini
 
Unafahamu katiba yetu kuhusu kiongozi wa kuchaguliwa kupitia chama anapohama chama? Kwa ufupi anapoteza nafasi yake ya kuchaguliwa.
 
Hata lowasa awe ccm c bado nampa kura yangu .hata mkisema sisi malofa sawa nampa kura yangu,hata mkisema sisi mazezeta bado nampa kura yangu.LOWASA hoyeeeee!!!
 
tunajua Katiba inasema nini, Lowassa ni mgombea wa DHARULA, je, ni hekima kuwa na serikali ya DHARULA maana sio huyu Mheshimiwa akikaa CHADEMA kwa miaka 5 achilia mbali miezi mitatu.

Uteuzi wa mawaziri utaleta mgawanyiko mkubwa kati ya Mwenyekiti na Amri jeshi mkuu.

wanaokaa kuteua mawaziri,mwenyekiti wa chama anaingia kweli?
 
Babu yangu nakukumbuka Sana kwa hadithi zako za 'Paukwa, nasi hujibu pakawa' Mungu akurehemu ulipo.

Nimkumbuka babu kwa sababu ya hekaya ya huyu mleta nada.
 
Kazi kwelikweli. UKIWA mtaisoma namba....Magufuli ndie rais
 
makosa ya uchapishaji, ni Bakili Muluzi. mwanajamvi ukifuatilia body ya historia si inaeleka, kwanini umeona tatizo moja tu?

Si inaeleweka Bingu alipewa uongozi na akabadili allegiance alipokuwa Raisi ?
Hata Bakili Muluzi ni wa Malawi, na Kenneth Kaunda ni wa Zambia. Kwa mara nyingine unazidi kudhihirisha ujinga wako. achana na hii thread, umeanzisha kitu usichokijua. Anzisha thread nyingine, pengine inayohusu Taifa Stars
 
Hata Bakili Muluzi ni wa Malawi, na Kenneth Kaunda ni wa Zambia. Kwa mara nyingine unazidi kudhihirisha ujinga wako. achana na hii thread, umeanzisha kitu usichokijua. Anzisha thread nyingine, pengine inayohusu Taifa Stars

achana na Kenneth Kaunda. tunazungumzia siasa za Malawi, sio Zambia. soma tena topic yangu.

umekazania kitu kimoja, vipi mwanajamvi?
 
Back
Top Bottom