Lowassa akataza wanachama kuhama CCM

MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amekuwa na mikutano ya ndani katika jimbo lake katika kile kinachoonekana kuwa ni jitihada za kutuliza wimbi la wana CCM kuhamia Chadema.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wanaCCM katika mikoa mbalimbali kuhamia Chadema. Mkoa wa Arusha ndiyo unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM wanaojiunga na Chadema.
Jana Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu kabla ya kujiuzulu, alifanya mkutano wa ndani katika eneo la Mto wa Mbu na baadaye kufuatiwa na mkutano wa hadhara.

Katika mkutano huo wa hadhara, mbunge huyo aliwaambia wananachi kuwa pamoja na kuwa suala la kujiunga na chama chochote cha siasa ni haki ya mtu, lakini haoni umuhimu wa wana CCM kwa sasa kuhama chama hicho kinachotawala.

Alisema CCM ni chama chenye kutetea maslahi ya wanyonge na kwamba kuna haja kwa wananchi kutathimini ili kuona kama kweli CCM imeshindwa kutimiza malengo yake.

Alisema CCM imekuwa ikitekeleza kwa vitendo mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Jiulius Nyerere ambao nni umoja na mshikamano, vinavyoifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.
Lowassa pia alisema CCM ni chama kinachotetea maslahi na rasilimali za nchi ili zisiporwe na wageni.

Amewakumbusha kuwa CCM ni chama kinachotoa nafasi kwa wanachama wake kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila ya mizengwe au ubaguzi wa rangi, ukabila au dini.
Source: Mwananchi

Duh! Unafiki mtupu!? Hivi maendeleo yakiletwa kwenu mnahitaji kuambiwa? Si mnayaona wenyewe?
 
Hayo maandish uloyabold.....yananifanya nicheke tuuuu......

Hapo kwenye Red. Lowassa amejisahau. Amesahau kuwa Arumeru Mashariki mgombea wa ccm alisimamishwa kimizengwe.
Amesahau kuwa CCM ndiyo iliyosimamia Ardhi ya watanzania kuporwa na wageni.

Jamani Lowassa vipi? Mbona anaiua CCM kwa makusudi? Au hakujiandaa kuzungumza na wananchi?
 
Lowasa anamuenz nyerere,,dah

Nawashangaa zaidi anaowawakilisha. Maana kwa namna wanavyomheshimu na kumuenzi mtangulizi wake, Mh. Edward Sokoine (rip), sijui kwanini wanamchagua huyu jamaa maana yeye na Sokoine ni mbingu na jehanam!
 
jana nilipita kwenye huo mkutano wake hapa mto wa mbu hakuna kitu cha maana aliongea zaidi ya kusema ahadi alizotoa za maji,barabara,na shule bado ana muda wa kuzitekeleza..huku akishangiliwa na wapambe wake 3 na wengine waliotoka nao huko monduli, aidha alishindwa kujibu kilio cha wananchi cha kumtaka amfukuze diwani wa mto wa mbu kwa kile alichodaiwa kuwa yeye(diwani)ni fisadi na anakwamisha maendeleo ya wananchi,
Baadhi ya wananchi nimewasikia wakisema kuwa "angalia pamoja na kuwanunua watu waje kwenye mikutano yake bado hawakwenda wasubiri chadema waje kuuteka mji" makamanda wa CHADEMA wanatarijiwa kupokelewa kwa kishindo siku chache zijazo huku tayari vijana tumeshapata ofisi,pamoja na kuanza kujenga matawi...
PEEEPOZ POWER!
 
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amekuwa na mikutano ya ndani katika jimbo lake katika kile kinachoonekana kuwa ni jitihada za kutuliza wimbi la wana CCM kuhamia Chadema.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wanaCCM katika mikoa mbalimbali kuhamia Chadema. Mkoa wa Arusha ndiyo unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM wanaojiunga na Chadema.
Jana Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu kabla ya kujiuzulu, alifanya mkutano wa ndani katika eneo la Mto wa Mbu na baadaye kufuatiwa na mkutano wa hadhara.

Katika mkutano huo wa hadhara, mbunge huyo aliwaambia wananachi kuwa pamoja na kuwa suala la kujiunga na chama chochote cha siasa ni haki ya mtu, lakini haoni umuhimu wa wana CCM kwa sasa kuhama chama hicho kinachotawala.

Alisema CCM ni chama chenye kutetea maslahi ya wanyonge na kwamba kuna haja kwa wananchi kutathimini ili kuona kama kweli CCM imeshindwa kutimiza malengo yake.

Alisema CCM imekuwa ikitekeleza kwa vitendo mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Jiulius Nyerere ambao nni umoja na mshikamano, vinavyoifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.
Lowassa pia alisema CCM ni chama kinachotetea maslahi na rasilimali za nchi ili zisiporwe na wageni.

Amewakumbusha kuwa CCM ni chama kinachotoa nafasi kwa wanachama wake kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila ya mizengwe au ubaguzi wa rangi, ukabila au dini.
Source: Mwananchi

Hivi hapo kwenye red huyo bwana si anatutukana wananchi kweli?
 
Lowassa mwenye hayupo CCM sasa hii huruma yatoka wapi au yeye na JK wameamua kuzika tofauti zao? Au sanaa na unafiki? Penye udhia penyeza rupia.

KWA TAARIFA YAKO WATU WOTE WANAOPINGANA NA LOWASA WATAONDOKA CCM. LAKINI LOWASA NDIO MWENYE CCM.

Angalizo tu.
 
Yeye mwenyewe ni moja ya wapora rasilimali wakuu wa nchi hii,alafu anasema eti c.c.m inalinda rasilimali,ni rasilimali zipi wanazolinda?anasema c.c.m inatekeleza mawazo ya Julius Nyerere,mawazo yapi hayo?ya yeye kua waziri mkuu wakati Nyerere alishamkataa?au mawazo ya uporaji wa rasilimali za watu maskini wa Tanzania?Lowassa umeshachuja kisiasa,game yako ya mwisho ilikua Arumeru mashariki ndipo ulipokwenda kujizika!nenda na Mbeya basi ukawashawishi watu wasihame c.c.m
 
CCM inateteaje maslahi ya 'wanyonge'? uongo dhahiri!
 
Mwenye fursa namuomba amkumbushe EL kwamba hadanganyiki mtu hapa! kupora ardhi ya wanyonge; mikataba mibovu ya madini; richmonduli, ufisadi wa wizara za serikali na mengi mengineyo je ni utetezi wa wanyonge?!
EL alikwenda kununua mvua kwa kodi za wanyonge; Mkumbushe EL kwamba "he can decieve some people for some time BUT he can not deceive all the people all the time labda huko vijijini ambako kuna utambuzi mdogo wa ukweli. magamba bye bye!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wangefanya maandamana kupinga ufisadi na wizi wa mali ya umma, baraza kubwa la mawaziri, wangeeleweka. Kwa hili sijui kama wanafikiri watz ni wachanga sana kiakili.
 
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amekuwa na mikutano ya ndani katika jimbo lake katika kile kinachoonekana kuwa ni jitihada za kutuliza wimbi la wana CCM kuhamia Chadema.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wanaCCM katika mikoa mbalimbali kuhamia Chadema. Mkoa wa Arusha ndiyo unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM wanaojiunga na Chadema.
Jana Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu kabla ya kujiuzulu, alifanya mkutano wa ndani katika eneo la Mto wa Mbu na baadaye kufuatiwa na mkutano wa hadhara.

Katika mkutano huo wa hadhara, mbunge huyo aliwaambia wananachi kuwa pamoja na kuwa suala la kujiunga na chama chochote cha siasa ni haki ya mtu, lakini haoni umuhimu wa wana CCM kwa sasa kuhama chama hicho kinachotawala.

Alisema CCM ni chama chenye kutetea maslahi ya wanyonge na kwamba kuna haja kwa wananchi kutathimini ili kuona kama kweli CCM imeshindwa kutimiza malengo yake.

Alisema CCM imekuwa ikitekeleza kwa vitendo mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Jiulius Nyerere ambao nni umoja na mshikamano, vinavyoifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.
Lowassa pia alisema CCM ni chama kinachotetea maslahi na rasilimali za nchi ili zisiporwe na wageni.

Amewakumbusha kuwa CCM ni chama kinachotoa nafasi kwa wanachama wake kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila ya mizengwe au ubaguzi wa rangi, ukabila au dini.

SourceL: Mwananchi

My take.
Huyu Jamaa anapenda kweli kuongea Kinyume nyume
 
Mwache ajifarague kama samaki alieopolewa majini. Kiama cha CCM ndio kimefika watu wanasema "VUA GAMBA VAA GWANDWA .....HAKUNA TATIZOOOOO" :peace:
 
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amekuwa na mikutano ya ndani katika jimbo lake katika kile kinachoonekana kuwa ni jitihada za kutuliza wimbi la wana CCM kuhamia Chadema.

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la wanaCCM katika mikoa mbalimbali kuhamia Chadema. Mkoa wa Arusha ndiyo unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM wanaojiunga na Chadema.
Jana Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu kabla ya kujiuzulu, alifanya mkutano wa ndani katika eneo la Mto wa Mbu na baadaye kufuatiwa na mkutano wa hadhara.

Katika mkutano huo wa hadhara, mbunge huyo aliwaambia wananachi kuwa pamoja na kuwa suala la kujiunga na chama chochote cha siasa ni haki ya mtu, lakini haoni umuhimu wa wana CCM kwa sasa kuhama chama hicho kinachotawala.

Alisema CCM ni chama chenye kutetea maslahi ya wanyonge na kwamba kuna haja kwa wananchi kutathimini ili kuona kama kweli CCM imeshindwa kutimiza malengo yake.

Alisema CCM imekuwa ikitekeleza kwa vitendo mchango wa Baba wa Taifa Mwalimu Jiulius Nyerere ambao nni umoja na mshikamano, vinavyoifanya Tanzania kuendelea kuwa kisiwa cha amani.
Lowassa pia alisema CCM ni chama kinachotetea maslahi na rasilimali za nchi ili zisiporwe na wageni.

Amewakumbusha kuwa CCM ni chama kinachotoa nafasi kwa wanachama wake kuwa na haki ya kuchagua na kuchaguliwa bila ya mizengwe au ubaguzi wa rangi, ukabila au dini.
Source: Mwananchi

Mafisadi naona maji yako shingoni.....hadi wanaamua kumkumbuka Baba wa Taifa....Hivi na zile harakati za Rafiki'ake wa pale magogoni kumfanya Mwinyi kuwa Baba wa Taifa ziliishia wapi?
 
mi nipo nje ya mtoa mada ila cjafahamu kuhusu waziri asiye na wizara maaalum marko mwando! na maswala ya mtandao ukichanganya na historia ya hwa mabwan wawili mi nafikir huyu mtu anaaandaliwa kuwa mkuu wa pango la wanyanganyi 2015
 
Tunamuomba el aje viwanja vya furahisha ama sahara mwanza aamasishe vijana tusihame ccm kwani ametutetea sana na ile sera yake ya vijana ni bomu la muda.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom