Lowassa: Ajira bado ni tatizo kwenye Serikali hii

huo ndo ukweli. wafanyakazi walioko kazini muda wote hawana amani. muda wowote wanaweza timuliwa kama mbwa...
 
Hayo yamesemwa Jana kwenye shule ya Elkisongo Munduli kwenye Mahafali ambapo Mh. Lowassa ndio alikua mgeni rasmi amesema serekali hii bado haijachukua hatua kwenye ajira kwa vijana wa kitanzania.
Tutajuta kwa nini hatukumchagua mzee huyu, aliahidi ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa angelimaliza tatizo la ajira ndhini. Pengine kila mtu angepewa ng'ombe wa kuchunga kule Monduli. Sasa Magufuli miezi sita hajafanya kitu Duuuh! lazima tuliompenda mamvi tulalame
 
Subirini tu kuajiriwa
Lowassa akiwa waziri mkuu alipokua kigoma aliwahi kuwataka vijana wasibwete kusubiri ajira za serikali,leo hii anailaumu serikali haiajiri.
Wapinzani wa Tanzania bado kabisa
 
Yule bibi aliyeandaa hayo maafali ni jipu, huyo mzee ameenda kumkinga atapata aibu ya mwaka. Mzee amesoma pale tangu 1961, hadi sasa ni mwenyekiti wa bodi wa shule hiyo, ila ukiangalia miundombinu ya shule hiyo inatia huruma! Itafute hiyo shule kwenye matokeo ya mitihani ndipo utajua kuna jipu lipo kwenye ukuu wa kuwekwa karibia miaka 20 na linalindwa kwa udi na uvumba!
 
Aache kulalama, kwa ukwasi alionao asaidie serikali ya JPM kufungua japo kiwanda kikubwa vijana wapate ajira. Awashirikishe na marafiki zake akina RA, NK na wengineo. Uwezo wanao.
 
hivi wapinzani kazi yao ni kupinga tuu??
nilikuwa nikisikiliza hotuba ya kambi ya upinzani ya wizara ya viwanda na biashara,ilikuwa ni kuponda tuu hakuna new ideas walizotoa,mwanzo mwisho nikutoa kasoro za kila kitu kilichowasilishwa na serikali bila hata kutoa njia mbadala ya kutatua hizo kasoro........jamani hatuwezi kuendelea kwa style hii.....
 
Hayo yamesemwa Jana kwenye shule ya Elkisongo Munduli kwenye Mahafali ambapo Mh. Lowassa ndio alikua mgeni rasmi amesema serekali hii bado haijachukua hatua kwenye ajira kwa vijana wa kitanzania.

Kweki kabisa serikali inabidi ifanye jitihada za makusudi kuwwajiri vijana wanaojipendekeza kwake kwa kutunga uongo ili awalipe. Mzee inaonekana vijana wa kitanzania wanaomlamba miguu awape pesa wanamsumbua sana. Walau amekuwa mkweli.Lakini angeonekana wa maana zaidi kama angeeleza hali ya ukosefu wa ajira kwingineko duniani ukoje na pengine ashauri nini kifanyike la sivyoakina mwanahabarihuru hawatamwacha. Mjini kuzuri bwana kijijini wakafanye nini?
 
Tatizo hamtaki kujiajili, si vema kutegemea ajira za serikali.
Hili ni miongoni mwa mawazo mabata zaidi kuwahi kutolewa. Especially na muajiriwa.

Whats the point of humar reaource?

Wanaoajiriwa kwenye hii nafasi nini maana ya wao kuwepo?

Kwanini wanakopesha elimu ya juu badala ya kukopesha mitaji?

Zama za kudanganyana zimekwisha. Kuna wanaokula keki ya taifa wenyewe. Wamewekana maofisini ukoo mzima.
 
Hayo yamesemwa Jana kwenye shule ya Elkisongo Munduli kwenye Mahafali ambapo Mh. Lowassa ndio alikua mgeni rasmi amesema serekali hii bado haijachukua hatua kwenye ajira kwa vijana wa kitanzania.
HUYU JAMAA BADO YUPO! AONGEZE IDADI YA MBUZI NA NGOMBE ili vijana wamsaidie KUCHUNGA....kwani mvuto na haiba ya siasa hana tena!
 
NDI NDI NDI!! Kama kuchunga ni shidaah! anaweza kutengeneza movie...based on true story ya mambo aliyoyafanya...kubwa ni kuweza kuwageuza watu waliokuwa wakimchafua kwa miaka mitano kama FISADI wakaanza kumtukuza kuwa malaika.....kwa hili mkuu Nyeupe anastahili TUZO YA KARNE!
 
Back
Top Bottom