Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Kama una uhakika na kutawala milele basi utakuwa mwizi wa kura. Kwa sababu ni mwizi wa kura tu ndiye anakuwa na uhakika huo.Hahahahahaaaaa! Hizi hasira zitawaisha tu. CCM itaendelea kutawala milele
umenikumbusha ile issue ya huyu waziri wa JK,eti Tanzania inapakana na msumbiji upande wa mashariki na kusini imepakana na zanzibar,daah! sijui ile ilikuwa shisha ama kitu gani!Mulugo amewaharibu sana vijana wa lumumba
Hivi wewe upo UVCCM ipi?kati ya hizi
1:UVCCM imani
2:UVCCM maslahi
3:UVCCM wazalendo
4:UVCCM mbumbumbu?
LOWASSA AMEIJERUHI CCMWakuu wa Wilaya Waliotemwa na Magufuli, Wabunge wa sasa kumfuata.
View attachment 363110
kabisa kabisa
badili avatar bana, mimi ndo nilianza
kwani kwa Dr Slaa ilikuwaje. ilikuwa amini amini usiamini.mara ikawa kweli. makamanda walificha ficha weeeee maana ilikuwa aibu na pigo kwa ukawa. lakini wapiiii Dr Slaa akatimka na LipumbaKITENGO CHA PROPAGANDA CHA CCM,CHA CHACHAMALIA MAMBO YASIYOWEZEKANA...
Mara mnyika,sasa lowassa baadae nani?
mbona mlikuwa mnayaamini magazeti ya Mwanahalisi ya KubeneaSiyaamini magezeti ya kibongo
Bora jf napata ukweli kuliko magezeti yetu yapo kibiashara sana
Tena Hii ni Baada ya kuchakata na kuchakachua.Huyu mwamba wa Kaskazini nakumbuka ndo alipunguza ruzuku ya Magamba na kuwaongezea CHADEMA waliopata 40%, huku Magamba yenyewe yakiwa na 58% ambayo imeweka rekodi mbaya kwa chama hicho toka pale Tanzania ilipopata uhuru. Kamwe Magamba hawatamsahau huyu jamaa.
Vipi?ccm pamejaaa hatumtaki
Unaota
Unaota
Mbona mnateseka sana Na Lowassa? Mwacheni kamanda hana ujinga huo
Hata lifunge chipsi, muhimu ni taarifa linalotupatia.
sasa hivi umeamini mkuuSiyaamini magezeti ya kibongo
Bora jf napata ukweli kuliko magezeti yetu yapo kibiashara sana
Politics is a Dirty gameCcm hawana seraaaaaa
Tafuteni uzushi mwingine
Huu umepitwa na wakati
Ukweli UmetimiaNimeipata mahala hii inaukweli mkubwa sana lakini watazidi kupata aibu tu.