Magamba kamwe hawata msahau lowasa maishani mwaoHuyu mwamba wa Kaskazini nakumbuka ndo alipunguza ruzuku ya Magamba na kuwaongezea CHADEMA waliopata 40%, huku Magamba yenyewe yakiwa na 58% ambayo imeweka rekodi mbaya kwa chama hicho toka pale Tanzania ilipopata uhuru. Kamwe Magamba hawatamsahau huyu jamaa.
Hivi nawe unajihesabu kuwa mwana ccm?akutambue nani wewe!ccm hatuna kumbukumbu zake.
Katuni ni habari picha, zinaelemisha sana. Kumbe gazeti zuriHii si ndo lile gazeti lililojaa katuni karibia page zote!
Hata lifunge chipsi, muhimu ni taarifa linalotupatia.Na mihogo ya kuchoma
Mtu mwenye kumuunga mkono Lowasa inabidi akapimwe akili- Msigwa....
Mulugo amewaharibu sana vijana wa lumumbaLowassa ni jipu?
Kwa kazi yako hatukushangai kusoma hivyo vipeperushiHata lifunge chipsi, muhimu ni taarifa linalotupatia.
Hata hawa hawatamsahau, basi tu kwa sababu amewanunua.Magamba kamwe hawata msahau lowasa maishani mwao
Huu mchezoooooo,hau hitaji hasiraaaaaaaaaaa
Kwani wewe ni CCM? CCM kina wenyewe, na wenyewe wana kumbukumbu zake!ccm hatuna kumbukumbu zake.
Nataka kujua wewe unaesema Lowassa hawezi kuzuiliwa kwenda CCM kisa ni chama cha majipu, tuthibitishie na wewe unakubali Lowassa ni jipu?Mulugo amewaharibu sana vijana wa lumumba
Hivi wewe upo uvccm ipi?kati ya hizi
1:uvccm imani
2:uvccm maslahi
3:uvccm wazalendo
4:uvccm mbumbumbu?
Acha aendelee kutudharau lakini misumari hatutaacha kumpigilia, ametuibia sana. Mbona siku zile pesa hazimwagi tena kwenye majumba ya ibada?Mafisiemu yana mimba ya Lowasa kila mtoto akicheza tumboni lazima yamataje, hivi hamna kazi za kufanya , kutwa nzima usiku kucha mnamtaja yeye tu ilhali yeye hawajibuni hivi hamjui kuwa amewadharau kupita maelezo?
Hata yalipoandika kuhusu Dr. Slaa kuondoka Chadema yaliitwa hivyohivyo kuwa ni ya UDAKU huku Chadema wenyewe WAKITUDAKUZA kuwa Dr. Yuko likizo.Nayo magazeti yamekuwa kama UDAKU sasa