Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Ha ha ha.. hela mbaya sana, yaani hapo tayari unalipwa kwa kazi hii?Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA leo ameingia katika mji wa Igunga kuendelea na vikao vya ndani katika kanda ya Magharibi ya chama hicho inayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi.
Wanataka kiki baada ya kupata taarifa za Wasira, Teh! Teh! Teh! wananikumbusha kipindi cha uchaguzi na kiki za kwenye Magazeti.Lugha ya taharuki
.