Lowassa aitikisa Igunga

Lowassa aitikisa Igunga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA leo ameingia katika mji wa Igunga kuendelea na vikao vya ndani katika kanda ya Magharibi ya chama hicho inayojumuisha mikoa ya Tabora, Kigoma na Katavi.

IMG-20161211-WA0097.jpg
IMG-20161211-WA0096.jpg
IMG-20161211-WA0094.jpg
 
Safi sana mkulu Jenga chama 2020 zamu yao kuisoma namba kwa kutaifisha mali zote za wakijani.
 
Back
Top Bottom