..wanakula nchi wp wewe! acha kuwapa sifa za kipumbavu.. makombo ndio kula nchi?. NYOTE AKILI ZENU SAWA TU. Kwani mnashida gani.!! Wenye vijiba watakondeana, nanyi MWALA NCHI!! Kwa raha zenu.
jamani lowassa akiwa pm tuliona jinsi watumishi wa serekali walikuwa na hoga na yeye alikuwa akifanya kazi kwa lengo la kutaka kufanikiwa na kufika sehemu,leo hii hakuna dira wala malengo,zaidi ya mambo ya uzushu kama kujivua gamba,hii itasaidiaje watanzania maskini
laiti lowassa asingejihuzullu leo tungekuwa hadi viwanda vimefufuliwa ,hata uchumi usingeporomoka hivi maanake hasingejali kuchukua maamizi magumu kuleta magenereta potele mbali hata kama angeundiwa zengwe la richmond namba 2
CCM ingekuwa na UWEZO wa kumvua gamba EL ... wangekuwa tayari siku nyingi wameutumia UWEZO huo adimu ..kufanya mambo mengi ya Kijasiri na kimaendeleo kwa chama chao na jamii. Kwa kuwa hawana uwezo huo ..ni doto na ni upuuzi kusubiri CCM iliyo nyongonyea na kunyauka ..kufanya ..THE IMPOSSIBLE!! Na kumtikisa EL ... BAD FOR THIS COUNTRY!!
Kikwete anajua si msafi na huko nyuma kulikuwa na tetesi kwamba Lowassa na Rostam walikuwa tatari kuannika uchafu wote wanaoufahamu kuhusu Kikwete labda unaohusu mbinu chafu zilizotumika na kikundi chao cha mtandao ili kuhakikisha msanii anaingia Ikulu na si ajabu kuna uchafu mwingine kuhusu Kikwete ambao Rostam na Lowassa wanaufahamu, hivyo Kikwete kila akiwaza kuanikwa kwa madudu yake hadharani basi lazima anywee kama Mwenyekiti wa magamba katika kumfukuza Lowassa katika chama chao. Lowassa kama hatafukuzwa basi atakuwa na nguvu ndani ya magamba kuliko hata Kikwete sijui atazitumia vipi hizo nguvu katika kuelekea 2015, lakini kwa maoni yangu Lowassa hastahili kabisa kuwa Kiongozi wa nchi yetu.
msitake kudanganya watu hoja ya kuanzisha ccj ilikuja sita alipotishiwa kunyanyanywa kadi ya magamba,akaona waanzishe chama chao,akagundua hakitapata support kwenye uchaguzi ili awe rais,afunga mdomo akabaki ccm.
Wote hao hawana lolote,yaani mali za nchi hii zinafujwa kila kona live,sita mwenye kipindi cha uspika alichezea hela na mahawara zake walifisadi bunge vibaya.
Lowassa anabatiziwa mambo ya kumchafua kwa nia fluni ya mahisimu wake wa siasa .
Upuuzi, upumbavu upupu, aibu kwako kwakusema mwizi aliyetuibia, fisadi ni shuja kwakujiuzulu na wajinga kama wewe ndo tunataka kuanza na nyie kwakuwaelimisha ili mmwe mnafikira kabla ya kutenda
Shine, Punguza jazba, changia hoja yenye kuleta mantiki ya kueleweka. Utetezi wa matusi yako haunamshiko kwa vile hujatoa dondoo za kuonyesha udhaifu wa Lowasa kulinganisha na wengine walioko serikalini. Kukosea ni kibinadamu, ila kurudia kosa ni kasoro. Mwenye dhamira njema hujirudi na kufuata njia inayotakiwa. Lowasa aliona kasoro iliyotokana na kutokuwa makini akiwa kiongozi mwandamizi serikalini, akakubali lawama na kuachia ngazi. Wangapi kama akina Ngeleja wanaolalamikiwa lakini hauna anayekubali kujiuzuru wala kuachishwa Kazi. Akina Jairo je? Jitahidi kufanya upembuzi wa kiakili zaidi badala ya kutanguliza vionjo utakuwa mchangiaji mzuri. Hakuna anayetetea uovu, lakini anayefanya kosa na kisha kujua kwamba kakosea na kisha kujirudi huyo ni mtume, vinginevyo visirani havina namufaa kwa umoja wa kitaifa.By Candid Scope
Sisasa ni mchezo mchafu, weledi wa kupanga hoja na kuzipangua ndio kufanikiwa.
Lowasa namwona ni mtu makini pekee katika serikali ya Kikwete ambaye pekee aliyethubutu kujivua gamba binafsi kwa kujiuzuru Uwaziri Mkuu baada ya kashfa ya Rishmond.
Wangapi wana kashfa nzito lakini Kikwete anakula nao sahani moja? Naweza sema Lowasa ni shujaa kwani viongozi wabovu wamejaa serikali ya Tanzania kuanzia na Mkulu mwenyewe lakini hakuna hata mmoja anayethubutu kujiuzuru au kuwajibishwa, badala yake wamejenga dhana ya kulindana.
"Wewe ndiye uliyepewa kazi ya kunifukuza mimi ndani ya CCM?" "Hapana Mzee mimi sijapewa kazi hiyo na mtu yeyote, ni wanafiki tu wasiokipenda chama chetu ndio wanaeneza uvumi usiokuwepo."
Nakubalina na wewe kuwa EL atabaki LAKINI sikubaliani na wewe kuwa kubaki kwake ni kwa sababu ulizotoa! JK hana uwezo hata akitaka kumvua gamba EL. Na Tatu Pamoja na Mungu kuwa na uwezakano mkubwa kusaidia afya ya EL ... but being honest .. The stress and all the frictions politically and socially ..am telling .... has all the ability to compromise the dudes health in a bad way!!
Hivi Lowasa akifukuzwa katika chama matatizo yetu yataisha na CCM sasa itakua kipenzi cha Watanzania? Hivi madudu yote yanayofanyika nchi nzima kote huko ni Lowasa na wafuasi wake?
Aende wapi?Lowassa Jembeni hivi ndugu zangu............EDWARD NGOYAI LOWASA haoindoki ccm.......
Watu walitaka anzisha ccj ili kuondokana na uchafu wa magamba, so it is not a big deal kwa watanzania.
Deal ni ufisadi na kujilimbikizia mali, huku ukiacha watanzania wakiteseka kwa magonjwa , umasikini ulikithiri na elimu duni.
CCJ si ishu inayo wasumbua wa TZ