mafundisho
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 388
- 136
Wewe tena?
Unataka ukawa wafanye kampeni vile unavyotaka wewe, kampeni ni mipango ndo maana zikaitwa kampeni siyo unajiendea tu bora liende kama mgombea wa chama flani
LOWASA AIKACHA KARATU:
Leo mgombea urais wa ukawa Bw.Lowasa aliwatosa wakaz wa karatu kwa kushindwa kwenda kufanya mkutano huko licha ya maandalizi yalikuwa yalishafanyika,Lowasa aliweza kuhutubia mto wa mbu leo ambapo eneo hilo na karatu ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari,upekupeku uliofanyika umeelezwa kuwa jamaa jamaa aliingia mitini kwani wananchi wa karatu walijiandaa kumzomea kwa nguvu zote kwani huko ndiko anakotoka Dr Slaa!Kutokwenda kwake ni wazi kuwa kura za karatu mhe huyu amezitoa sadaka kwa CCM!
Tetea hoja ya mwandishi
Huyo hawezi karatu, ngome ya Slaa pale,hawana utani wanainchi wa karatu[/QUOTE
Aisee. ...
Tendeni haki basi? Au ndio katika Ubora wenu ili mikono iende kinywani?
Akili zao kma za lusinde kazi kuropoka tu....wa2 wa karatu wanajitambua sio kma dk mihogo
leo ilikua
mto wa mbu
mangola
babati
uwe unafuatilia ratiba mkuu!!kesho zenji
Labda ratiba yako ndio inasema alikuwa aje Karatu.... Ila kama una ratiba sahihi hii post yako ni ya ovyo
Fisadi huyo anaujua mziki wa karatuLOWASA AIKACHA KARATU: