Lowassa aibua vita mpya

Vyombo vya habari vya kibongo bana!
 

Ujumbe mzur sana. Ila ukiota tena mwambie sio vizur kuwadanganya police. Tungemwamin sana angefunguka kipindi kile kuliko sasa ingawa ajachelewa bdo awe mkwel kwenye campen zake. Atapata kura za kutosha
 
Kazi ipo kweli mwaka 2015......ki ufupi patachimbuka sana.....
 
Kikosi cha ccm....goli kipa baba rizi 2 lowasa 3 .Nape nnauye 4.. makonda 5 mwakyembe 6 membe 7 Ngeleja 8 mgana msindai 9 mwigulu nchemba 10 Saada mkuye 11..sita substution.. magufuli..kange lugola..Deo filikunjombe....kessy...maneger...Ali khasan Mwinyi na Kingunge ngimbale Mwiru....
 
Kwa Lowasa, kuliko Membe/Sitta/Mwakyembe kuwa raisi, ni bora CDM wachukue nchi and vice versa. ..
Mkuu Tuko, naungana na wewe, ila ili Chadema iweze kuchukua nchi, huyu jamaa akataliwe CCM, ahamie Chadema, awe ndio mgombea wenu wa urais, vinginevyo kwa Chadema hivi ilivyo, ukimuondoa ZZK, haina mgombea mwingine yoyote, mwenye uwezekano wenye kuwezekanika kuchagulika kuwa rais wa JMT!.

Naomba utofautishe mgombea urais na mgombea mwenye uwezekano wa kuwezekanika kuchagulika kuwa rais wa JMT. Wote waliopo kwa sasa, wana uwezekano wa kuwa wagombea tuu, lakini hakuna mwenye uwezekano wa kuwezekanika kuchagulika!.

This is very bitter truth, you'll have to swallow hike kidoge kichungu, kuwa 2015, ni CCM tena!, unless otherwise!.
Pasco.
 
Rose kamili ametangaza kugombea urais wa tz kupitia chadema
huyo an amfadhaiko wa roho...Dr. akimpigia simu ya salamu mchezo unaisha......ila sijui Lowasa na jinsi vijana watakavyomzodoa na kumpandisha hasira kam CCM itapona haraka.
 
Wakikuhitaji kuthibitisha mahojiano yako na EL,mi nitakuwa shahidi no.1 niliicheki movei mpaka mwisho.
 

Never....
Lowassa ni mtu dhaifu sana mbele ya CDM. Rejea uchaguz wa Arumeru
 
Watu wanamtumia lowassa kujitaftia jina, mmemfanya barabara kila m2 anatuhuma ila evidence hanaa, midomoo malii yenuu ongeeni kwanii hamlipii vat, badalaa muongee mambo yanayo kabilii nchii, kuna tatizo la ajira vijanaa mmekaa kimyaa kila siku lowasa sijuii nani aliwachaguwa ninyi muwe viongoziii hawakupima thnkng capacity yenu bali physical 2
 
Ivi Lowasa akiupata urais kwa jitihada zake binafsi, je kuna mtu atamuuliza kitu kweli au ndo atakua anatujibu "urais wangu hauna ubia na mtu"!?
 
Tahadharii kuna watu mnaamka toka usingiziini na kucomment watu wa namna hyo ni hatarii sana, nukuu kuna m2 kasema eti kama aeshindwa monduli, tanzania ndio ataiweza bila shaka huyo ni empty mind, au vepa kbsaa hana alijualo
 
Kwa namna yoyote ile Lowassa hazuiliki kufanya anayotaka ndani ya CCM na kuna madhara makubwa wasipompitisha awe mgombea Urais kwa tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Never....
Lowassa ni mtu dhaifu sana mbele ya CDM. Rejea uchaguz wa Arumeru
Arumeru ni CCM wenyewe kwa wenyewe walihujumiana kwa kumhujumu chaguo la EL ili kumkomoa!. 2015 CCM ikirekebisha makosa, jimbo linarejea kwao!. Tena kiukweli kama Chadema inataka kuyalinda baadhi ya majimbo yake, haina budi kuwasaidia baadhi ya wabunge wake dhaifu katika ufuatiliaji, usimamizi na utekelezaji, vinginevyo 2015, itayapoteza!.
Pasco




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…