Lowassa ahudhuria viwanja vya Maulid Mnazi Mmoja

Mbona Sumari aligombea akiwa bedridden akapata ubunge na unaibu waziri juu?! Chezeiya chama tawala eh! CCM wana uwezo wa kusimamisha mwanafunzi wa form II, wakamfanyia kampeni, wakamuibia kura, wakampa uwaziri, na akiogopa kusimama kusoma bajeti akasaidiwa vile vile!
Ila kwa spidi aliyonayo,hata kama atafika 2015 akiwa bed ridden..achilia mbali kwenye wheel chair...,atagombea tu!

Ushauri wa bure..
Ajiunge rehab....
 
Mi nimemwona mwanasiasa huyu kwenye mkesha wa Maulid huko Kilosa,usiku wa kuamkia leo...kavaa suti kama ya dark blue,kasimama alongside mgeni rasmi (Mohamed Gharib Bilal),Ali Hassan Mwinyi,na wengineo...

Ila,ni kama ENL anadhoofu!
Waliotoa hotuba ni pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya pili.. Anaonekana ana siha bora zaidi na wajihi angavu zaidi kumlinganisha na ENL!!

Lowassa, alikuwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam. Wala sio Kilosa, mbona alikuwa kwenye pozi tu kama kawaida yake...Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania.
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu

Leo umemkana Dk Slaa safi sana najua hata wana Chadema wanamkubali sana Lowassa.
 
Mbona Sumari aligombea akiwa bedridden akapata ubunge na unaibu waziri juu?! Chezeiya chama tawala eh! CCM wana uwezo wa kusimamisha mwanafunzi wa form II, wakamfanyia kampeni, wakamuibia kura, wakampa uwaziri, na akiogopa kusimama kusoma bajeti akasaidiwa vile vile!

Hilo nalikubali fika King'asti
 
ha ha ha... Umenivunja mbavu sita wewe..za upande mmoja.. Mbili za upande mwingine zimecrack....ha ha ha...
Pole sana mkuu, nenda kitumbini pale kuna mbavu za spea ila kuwa makini usichukue za kichina, au ukifika pale muulize mchina anaitwa Lee Kum amot, atakupatia
 
Bado tu hujakoma kuchagua rais kwa kuangalia mapozi? Hivi mchuzi wa bata unaungwa na nynya, manake jana nimenunua kg sh 3000! Anza kuchomwa, hali mbaya!
Lowassa, alikuwa kwenye viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam. Wala sio Kilosa, mbona alikuwa kwenye pozi tu kama kawaida yake...Lowassa ndiyo kimbilio letu Watanzania.
 
watanzania na kauwezo kadogo ka kufikiri mnakimbilia ku judge by appearance'huo ni ujinga bana huwezi ku judge book kwa kusoma cover'some kitabu kizima'yule jamaa achana naye ni milionea hata ukichanganya ukoo wako wote hamumfiki hata nusu
Hata Steve Jobs alikuwa milionea pia, magonjwa nouma mkuu.
 
Mitungi ingekuwa sababu ya kudhoofika, ya kwanza kudhoofika ingekuwa jf! Hebu acha uchokozi, ntakusemelezea kwa paw!

kweli vile....
Mi ndiyo naperuse kujua Remmy Martins ina alcohol kiasi gani.. We pia nisaidie kuulizauliza King'asti...
 
Pole sana mkuu, nenda kitumbini pale kuna mbavu za spea ila kuwa makini usichukue za kichina, au ukifika pale muulize mchina anaitwa Lee Kum amot, atakupatia

unanikataza na kunicaution juu ya wachina,na yet unanielekeza kwa mchina..
Yaani I am responsible fully.... Have mercy on me... After all we ndiye uliyezikongoroa! @YN
 
mtu anatanga tanga huyu,si angekaa akashughulika na afya yake kwanza!hajionei huruma?

anakimbizana na muda mkuu si unajua kuingia pale magogoni kunahitaji maandalizi...lakini asipokuwa makini anaingia magogoni kashachoka...nadhani ujumbe atapata.
 
anakimbizana na muda mkuu si unajua kuingia pale magogoni kunahitaji maandalizi...lakini asipokuwa makini anaingia magogoni kashachoka...nadhani ujumbe atapata.

maandalizi ni pamoja na mahudhurio mazuri rehab...
 
Mi nimemwona mwanasiasa huyu kwenye mkesha wa Maulid huko Mnazi Mmoja,usiku wa kuamkia leo...kavaa suti kama ya dark blue,kasimama alongside mgeni rasmi (Mohamed Gharib Bilal),Ali Hassan Mwinyi,na wengineo...

Ila,ni kama ENL anadhoofu!
Waliotoa hotuba ni pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya pili.. Anaonekana ana siha bora zaidi na wajihi angavu zaidi kumlinganisha na ENL!!

Ana afadhali ukilinganisha na mwanae, mwanae kazeeka zaidi kwa mitungi!!!
 
Back
Top Bottom