OMOSACHA ILISACHA
Senior Member
- Jul 31, 2015
- 108
- 64
Pole sana, you are in denial and panic after seeing your candidate getting tough opposition from thinkers who comprehended Dr. Slaa.
Mtapinga sana mwaka huu, lakini kilio kamili ni October 25 siku ambayo mtabebwa na ambulance kuelea hospitali za CCM.Dah yaani resolution ya rais mtalajiwa na hao.walovaa viatu ni.tofauti kabisa....dah MBONA MNAANGAIKA SANA??
KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTEREZA KWELI DAH.
Jifunze kutafsir Ishara. Ndio maana mliitwa Malofa.Sasa kuna tusi gani hapo?Hebu leta tafsiri
Kumbo jamaa zenu ni wezi. Kazi kweli kweli UKAWA.Yaani huo msongamano uweke viatu chini kumshangilia Lowasa? Vikipitiwa au visipoonekana baada ya tukio la Lowasa kuisha ukamlaumu nani? Ulichonacho mkononi kama hakina uzito mkubwa inua shangilia!
Mtanyooka tuBahati nzuri ni kuwa wala hajali
Mungu hana uhusiano wowote ule na FISADI. Muogope Mungu kwa kumzulia uongo.Ccm ogopeni Mungu. Acheni kuwapa fedha vijana na kuwavalisha kilofa ili wamfanyie lowasa mambo haya halafu mnadai ni Chadema wamemchoka! Vijana hawa wanafahamika kuwa ni ccm na wanasema mtaani baada ya kitendo hiki kuwa wamehongwa! Eti kwao hapendwi mtu bali noti!!!
Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.
Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi
Umelenga penyewe KiongoziCCM haina muda wa kuandaa vijana hao ni wafuasi halali waliochoka uongo.
You are out of context. Chadema Asili at work and are tired of been controlled by few elites.Tuwe watu wa kufikirisha akili,hao watu walikuwa wanafanya nini? Lets say ni waosha magari na wakati Lowassa anapita wakaacha kazi zao kuja kumuona,inawezekana ni wauza viatu wamachinga,lakini pia sio utamaduni wa kibantu/kitanzania kudharau kwa viatu,mathalani kabila letu ni heshima kumsalimia ukiwa umevua viatu.TIJIFIKIRISHE kitendo kimetoaje ndipo tuhukumu.