Lowassa agonga Mwamba

Lowassa agonga Mwamba

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
11037113_949528051780451_4082133712484005800_n.jpg

Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi
 
[h=2]

[/h]

Photo Shop hiyo acha kuwahadaa watanzania ww.
 
Ccm ogopeni Mungu. Acheni kuwapa fedha vijana na kuwavalisha kilofa ili wamfanyie lowasa mambo haya halafu mnadai ni Chadema wamemchoka! Vijana hawa wanafahamika kuwa ni ccm na wanasema mtaani baada ya kitendo hiki kuwa wamehongwa! Eti kwao hapendwi mtu bali noti!!!
 
Hapo ndo umejitahidi kufikiri na wewe ukaandika thread yako mwenyewe.
 
Acha uzandiki wewe. Hao wameshika viatu kwa kuchoka kutembea. Mmeshikwa pabaya wazee wa mihogo.
 
11037113_949528051780451_4082133712484005800_n.jpg

Pole sana Lowassa, hii ndio balaa ya kuwa UKAWA.

Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi

Kweli mmeishiwa na mmebaki kufanya uzuzu ambao unazidi kuwaangamiza. Hii picha ya wauza viatu umeunganisha kwa nyuma ukaweka picha ya rais wetu mtarajiwa Lowassa!
 
Viatu visafi kabisa ikabidi nijiulize mzee wa kulialia ameweka lami huko kwao mpaka choooni ?
 
Pole sana, you are in denial and panic after seeing your candidate getting tough opposition from thinkers who comprehended Dr. Slaa.
 
Viatu visafi kabisa ikabidi nijiulize mzee wa kulialia ameweka lami huko kwao mpaka choooni ?
Kitaalamu kumuinulia kiatu Kama hawa jamaa kwa kiongozi mkubwa ni matusi makubwa na haipendezi
 
Hao ni wahuni,Wameandaliwa na mile Chama chetu Kinachoimba Amani Majukwaani huku Kinatenda Kinyume Chake.
 
Ccm ogopeni Mungu. Acheni kuwapa fedha vijana na kuwavalisha kilofa ili wamfanyie lowasa mambo haya halafu mnadai ni Chadema wamemchoka! Vijana hawa wanafahamika kuwa ni ccm na wanasema mtaani baada ya kitendo hiki kuwa wamehongwa! Eti kwao hapendwi mtu bali noti!!!

Wasameeni wanahitaji kukombolewa kwani ni malofa tu,Mkapa alikuwa anajua ndo maana alisema.
 
Dah yaani resolution ya rais mtalajiwa na hao.walovaa viatu ni.tofauti kabisa....dah MBONA MNAANGAIKA SANA??

KIFO CHA NYANI MITI YOTE HUTEREZA KWELI DAH.
 
Back
Top Bottom