wasalaam;
binafsi ninawasiwasi na afya ya mgombea urais kupitia chadema ndugu lowasa. Ila toka ahamie chadema yakhe hajawahi simama jukwaani zaidi ya dakika kumi.
naomba mliopo iringa mtujuze leo kaweka rekodi ya dakika ngapi?
nimestaajabu nilipoiona picha ya leo iringa mjini, lowasa anaongea lakini kashikiria 'mimbali' kwa nguvu sana na mikono miwili. ni kama amejiegemeza kwayo.
Hizo porojo za ccm na hoja mfuu. Watanzania hawati rais anaeongea snaaaaa kama cherehani na kutoa ahadi za uongo. Watanzania wanataka man of action sio kubwabwaja mdomo Tu. Na lowasa ndie tunaemuhitaji kwa mabadiliko.
Afya Afya siukaijadili afya yako yani jitu ata kufanya total medical check up halijawahi ila kujadili afya za watu malofa km aya ndo huwa yanaomba msaada daily yakiugua.....Mabadiriko lazima hatuitaji MC sisi wala JOHN CENA ikulu.....