Lowassa afunika Iringa

Lowassa afunika Iringa

Who commits fraud? Personality trait: Wheeler and dealer, has a "beat the system" attitude, overly friendly ect. Behavioral characteristics: Active in fundraising in churches or prestigious clubs.............! Dear Tanzanians be aware of Mr. Fraudulent Politician.
 
Lao moja na SLAA hawa, sasa sijui nani atasimama 2015, SLAA au LOWASA, manake naona akina Saanae wameanza kujikuna
Nimekubali tabia inaambukiza.Kikwete kawaambukiza UDINI.Thatha acha udini
 
kwa iringa nayoijua hakuna mtu wa kumpokea iringa, ni hayo makina ya waroho wa pesa chafu ndo watampapatikia.

Heading iwe 'Lowasa afunika kanisani la waroho'
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

Rais wetu mtarajiwa!!!
 
Alistaafu lini? Mbona wa TZ ni wanafki? au ndio kutumiwa huko. sema kwa ujasiri WAZIRI MKUU ALIYESHINIKIZWA KUJIUZULU.
 
watu wanasema EL ni fisadi hawajui kuwa ameshatubu? kama kweli ni fisadi kama inavyosemekana. Mungu anasamehe
huyu EL ni kiongozi mchapa kazi watanzania wanafahamu, waulize watendaji wa halmashauri shughuli ya lowassa watakuambia. isitoshe watu wengine wanotajwa kuchuana nae kuwania urais CCM hakuna anemmweza mf;MEMBE SITA MIGIRO SALIM NCHIMBI MAKINDA WASIRA MAGUFULI MWAKYEMBE riz1 akikua sumaye etc wote hawa hawamuwezi labda kwa Dr.Slaa ndo atakuwa na kazi.

Kabisa,kazi ameifanya kwakweli. Kwa mwendo huu tuna sababu ya kujivunia. Kwa harakaharaka tu jaribu kupiga hesabu kiwango cha michango yake katika ujenzi wa makanisa. Siipendi CCM (Chama Cha Mafisadi) lakini kwa hili niko pamoja naye.
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.

ukimaliza nenda kwa Lowassa ukachukue malipo kwa thread hii.
 
Anaandaliwa na CDM kuchukua nafasi ya SLAA, wanaona anafiti kutokana na kuwa mkristo kuliko kumpa ZITTO nafasi hiyo.
hapo umenena mm ningeshauri wampe hata nafasi ya kugombea Urais kwa tiketi ya CDM kwani si ajabu hata huko Kenya kina Kenyatta na Odinga walihama Vyama vingi tu wakiuwania Urais
Kinana katoa mfano Huko Morogoro kuwa kuhama au kujiunga na Chama sio nongwa hata Ronald Regan Rais wa zamani wa USA na mcheza Filamu alikuwa Democratic akahamia Republican akawa Rais
Lowassa asimsahau Filikunjombe kuhama nae kwenda CHADEMA naona wanamhitaji sana kila siku Lowasa, LOWASSA
 
JK anapata wakati mgumu sana kutafuta mrithi wake ambae atafukia na kufumba macho na kuziba masikio yoote!je atamuamini EL?
 
Kabisa,kazi ameifanya
kwakweli. Kwa mwendo huu tuna sababu ya kujivunia. Kwa harakaharaka tu
jaribu kupiga hesabu kiwango cha michango yake katika ujenzi wa
makanisa. Siipendi CCM (Chama Cha Mafisadi) lakini kwa hili niko pamoja
naye.

nawashangaa sana chadema. huyu lowasa pamoja na makashfa yote ya rushwa wanamkumbatia. nasikia slaa anamtumia sana kupiga kampeni makanisani
 
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli amedhihirisha nguvu kubwa na utajiri wa watu aliyonao, baada ya kupata mapokezi makubwa Mkoani Iringa.Lowassa amewasili Iringa asubuhi hii akiongozana na wabunge karibu wote wa mkoa wa Iringa,kwa ajali ya Harambee ya ujenzi wa kanisa na Kituo Cha radio Cha overcomers.viongozi wote wa Chama tawala Mkoani Iringa na Serikali nzima imempokea Mh Lowassa.
Sitta alishauri tuwaepuke hawa watu
 
hizo shutuma Saanane, yeye kaalikwa me na wew hatuhusikii! ya kujiudhulu ni shutuma za kisiasa kama ya kwako kushutumiwa kumwekea sumu mmoja wa wakuu wako! wewe ni kamanda na unajitambulisha hivyo na mara nyingi sis ni wakwanza kuwakebei ccm na kuacha kujibu na kusema ya maana badala yake bla bla na propaganda ila kwa unavyoonekana wew ni shabiki wa siasa na si kiongozi, unajina kubwa humu fanya yale yanayolengana na hadhi ya jina lako nasema wazi kwa mtu mwenye talenta ya uongozi hawezi kuwa mkurupukaji kama wewe...kosoa sera na matendo binafsi ya kiongozi yanayokuathiri wew au chama chako, vingenevyo pitisha macho na wenye makanisa yao na michango yao waache kwani hayo ni ya kwao!
 
kwa iringa nayoijua hakuna mtu wa kumpokea iringa, ni hayo makina ya waroho wa pesa chafu ndo watampapatikia.

Heading iwe 'Lowasa afunika kanisani la waroho'
Mkuu usidharau hiyo. Huyu bwana tumemlipia 152 m kila siku kwa takriban miaka miwili pasipo kuzalisha chochote kuptia RICHMOND yake. Anao uwezo wa kuwahonga wananchi wengi sana. Kwa umaskini uliotamalaki, anaweza kuwarubuni wengi.
 
Back
Top Bottom