OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Huyu nae ni jembe kama ZZK.
Kabisa mkuu huo mti kuuangusha ni vigumuLowasa ni sawa na mmea huu chini:
View attachment 128180
Wavuvi wa dagaa webzie walionyesha bango linasema zitto ni kama mandela...mxxxx akili za wavua dagaa hawa
Haikuwahi kutokea hata mara moja Hayati Nelson Mandela iwe kwa dhahiri ama kwa kificho kuendesha usaliti ndani ya chama chake na ikumbukwe Mandela aliikuta ANC. Hadi mauti yanamchukua alibaki loyal kwa Chama na wananchama; hakujiinua nafsi yake kwamba yeye ni maarufu kuliko chama. Kumlinganisha Zitto na Mandela ni kuvuka mipaka ya dhihaka.
Nape akae mkao mzuri naona fisadi anakuja kwa kasi! Lowassa ni maarufu kuliko CCM. Ukweli ndio huo