Wengine wako karibu na kanisa la St. Peters.alot of kujichanganya apa mbona mnarukia yale (majamaa machakachuaji ya kura tunazopiga) mashushushu ya pale makumbusho kwa nyuma (uwt) why not... Umoja wa wanawake tanzania, umoja wa walimu tanzania au usalama wa taifa, ebu weka vizuri tutoe pwenti zetu
Nimeon hii habari kwenye gazeti la Dira sikumbuki tarehe ila wanadai Fred ali kuwa kwenye bar/hoteli Arusha akamwona jamaa waTISS akamfata na kuanza kumpa shit kwamba hakutegemea mtu kama yeye wanafahamiana vile halafu na yeye anakuwemo kwenye ishu kama hiyo yule jamaa akaita polisi wakamchukua Fred mpaka kituoni alipofika wakamwambia aandike statement akagoma nakuanza kulia kwa sana sijui kwa kumuogipa wakamwambia ajidhamini aje kesho pombe ikisha jamaa akaondoka akazima na simu akarudi Dar kimya kimya kwa kifupi ndo hivyo
Wakuu heshima mbele,kwenye magazeti ya leo imefahamika kuwa Fredrick Lowasa mtoto mkubwa wa EL amereport kuwa UWT wana mpango wa kumuua baba yake kwa kile ambacho hakijawekwa bayana!!kama ada wanajamvi kwa weredi,tunapenda kujua imetokea nini ghafla hivyo au ni kujihami baada kushukiwa na kuwalisha sumu baadhi ya wapambanaji wa ufisadi???nawasilisha
Wewe tueleze una nia gani ya kuuliza wenzako percentage ya kifo?
Hii habari niliiona kwenye gazeti la DIRA toleo la jtano last week kama sijakosea. Ni kwamba Fredrick alikuwa na washkaj zake kule AR kwenye hotel ya Mount Meru ( sina uhakika na hotel name) ila ilikuwa hotelini wanapata kilevi na mara akapita jamaa mmoja wa UWT Arusha ambaye maisha yake ya starehe yanategemea mfuko wa Fredrick (huwa anawekwa mjini na mtoto wa EL) kwa hiyo ni washkaj.
Kwa kuwa FL alishalewa akaanza kumkunja mshkaj kuwa anaandaa njama za kumuua mdingi wake (EL). Ilitokea zogo pale ikabidi jamaa wa UWT akimbilie kufungua file pale Arusha Central. Huku FL alitoweka na akazima simu zake zote kwa kuogopa hiyo issue kuwa kubwa na kutafutwa maana alijua EL hatafurahia hizo habari na ingembidi mwanae atoe ushahidi polisi kwa aliyoyasema.
Japo habari zinasema pale AR familia ya EL inaogopwa kama mafuriko ya jangwani na hakuna mtu wa kuwagusa na ndio maana FL hajatafutwa na polisi na hiyo issue haijasikika tena.
Hii habari inawezekana kuwa kweli maana ugomvi wa EL na JK uko live kwa sasa na lazima mmoja apungue kwenye siasa kabla ya uchaguzi mkuu wa CCM mwakani. Unajua EL ana mtandao mkubwa wa wenyeviti wa CCM mikoani na anaweza kumshinda JK kwenye uenyekiti wa taifa which means baba Riz anaweza kutemeshwa kitumbua cha pale magogoni. Kikawaida hawezi kukubali hilo litokee akiwa anaangalia tu.
Ndiyo hivyo mzee tafuta gazeti hilo vibandani na wewe usome hii habari mbona ni habari kuu kwenye hilo gazeti siku hiyoNi kweli chanzo cha Habari hii ni Dira lisilojulikana tarehe? Na Chanzo halisi ni Ulevini??
Tafadhali tujuze hizi si Tuhuma za kufanyiwa Mashara.
jamani eh, msiogope, si ndio tunajifunza mambo hapa JF???
KWA MARA YA KWANZA LEO NAONA MEMBERS WENZANGU HAMNA IMANI KABISA NA MIMI AISEE
View attachment 44110
Huyu Lowassa mdogo naye si alitajwa katika kumuua Mwakyembe, aliwapelekea mbuzi wale Alshabaab. Sasa anaweweseka baba yake kuuwawa. Tutasikia mengi sana hadi 2015
Kama ni kweli basi watafute sumu nyingine na sio ile POLONIUM 3... inaonekana haiko madhubuti kiivyo...tumechoka kupeleka watu India kumaliza kodi zetu:alien: kelele nyingi magazetini tumechoka ...polisi wako kimya hakuna cha kukamatwa watuhumiwa: kumbuka tuhuma za Mwakyembe.Wakuu heshima mbele,kwenye magazeti ya leo imefahamika kuwa Fredrick Lowasa mtoto mkubwa wa EL amereport kuwa UWT wana mpango wa kumuua baba yake kwa kile ambacho hakijawekwa bayana!!kama ada wanajamvi kwa weredi,tunapenda kujua imetokea nini ghafla hivyo au ni kujihami baada kushukiwa na kuwalisha sumu baadhi ya wapambanaji wa ufisadi???nawasilisha