Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
hebu niondokee huko we kibavicha. kama hata huelewi kikatiba, alichofanya Riz1 ni haki yake, tena nimekupa na takwimu halafu bado huelewi sina cha kukusaidia. tupa kule mbali kabisa we kibavicha cha kimsukule.
we kibavicha cha kimsukule, nimekuuliza, je ukiwa mtoto wa kiongozi huruhusiwi kugombe uongozi kwa mujibu wa katiba yetu, tena nimekupa na data kuonesha njia ambayo kwa mfano riz1 amepitia. tupa mbali kabisa wewe kimsukule cha kibavicha maana akili iko acha shiliwa na viongozi wake.Ukiona ukweli unaongelewa hadharani na majibu ya maudhi kwa wenye busara kumrudishia ni sawa na kuamua kumrushia jiwe mwenye matatizo ya akili, vinginevyo hatutajua nani mzima na nani mgonjwa.
umenichekesha eti kizazi cha akina lulu. sidhani kama mfumo unanafasi hapa. historia ni mwalimu kuliko hata walimu watu unaowaona. ipo mifano mingi tu ya nchi zilizoendelea na zisizoendelea suala la watoto waliomadarakani nao kuja kuwa viongozi acha hii ya akina riz1 kuwa wabunge tu. labda nikupe mifano mchache tu; uhuru, karume na bush. tena hao ni top position leaders.Unachokiona wewe ni Ridhiwani au mfumo? Mbona unatapika nyongo badala ya kutema cheche za hoja. Tunakazania kuutokomeza mfumo hodhi na kubakiwa na mfumo huru ndicho mnachotolea macho na kubandika watu bavicha? Laiti ungenifahamu ninayeandika hapa ungeanza na shikamoo badala ya kuniweka kundi la kizazi cha akina Lulu.
umenichekesha eti kizazi cha akina lulu. sidhani kama mfumo unanafasi hapa. historia ni mwalimu kuliko hata walimu watu unaowaona. ipo mifano mingi tu ya nchi zilizoendelea na zisizoendelea suala la watoto waliomadarakani nao kuja kuwa viongozi acha hii ya akina riz1 kuwa wabunge tu. labda nikupe mifano mchache tu; uhuru, karume na bush. tena hao ni top position leaders.
hata huo mfumo unaoongelea ukibadilishwa leo haliwezi badilisha ukweli huu. that is natural justice. wakati mwengine naona kama vile ni wivu tu unaowasumbua. kwa sababu kila kitu kipo clear, ningekubaliana nao kwa mambo mengine sio hili. naona visingizio tu visivyo na maana yoyote, mara mfumo mara.....
Kuhusu Kalenga usiongee kabisa. Pale nyinyi hamkushiriki kupiga kura? na si Molemo aliyekuwa akitamba humu kwa uongo na kusema chadema 80% wamesha shinda?
Unajuwa maana ya kura na unajuwa maana ya viti vya upendeleo?
nashauri katika haya ukae pembeni maana watu wanaweza wakaja na data za ccm walivyowekana mtu na mdogo wake, mtu na mwanawe, mtu na mkewe na wazinzi wake, mtu na makahaba wake utakimbia mwenyewe. kwani kalenga ni mwana au baba wa waziri wa fedha aliyekufa. je chalinze nako ni baba au mwana wa mkuu mwenye nyumba, nani anampigia kampeni, hela ya nani. january ni mtoto au baba wa makamba. kawawa wa namtumbo ni mtoto au baba wa kawawa, the list is endless. mm nafikiri tukubali tu kuwa kama baba ni mwanasiasa na wanawe ni wanachama halali nao wana sifa za kuwa viongozi kwa mujibu wa katiba za vyama. sababu ni kuwa hata wao wanalipia kadi za vyama kama wananchama wanaojitegemea, mengine ya uhusiano na wazazi wao hayana msingi wowote. kama unaona shida basi tushinikize iwekwe kaika kaiba mpya baadhi ya watu ambao hawana sifa za kugombea uongozi ikiwemo watoto wa viongozi tutaje vyeo husika huenda itapunguza malalamiko ambayo naona hayana msingi sana kwangu
kila mtu ana haki ya kuchagua viongozi wake na ana haki pia ya kuchaguliwa kuwa kiongozi bila kujali baba yake ni kiongozi wa nchi au wa chama cha siasa period
Mada yako ikisomwa neno mtu atagundua tu kuwa umetumwa na Lowasa kupima upepo,Kajipange upya.
Kumbe Zitto ni mkristu hadi amewazuia wakristu wa CDU wasichangie chama cha kikristu.