Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

Uwongo tulionao na tunaokalilishwa na wakubwa zetu wa chama utasikia " kwa kuwa alikuwa ni mgombea wetu wa uraisi"lakini dr.slaa aligombea na hakuwa anaishi hivyo,yaani huyu lowasa natamani aondoke tu kwenye chama
 
Ama kweli wahenga walisema ujinga haupunguzi ukubwa wa kichwa kichwa cha mtu! Kingekutambulisha
 
Uwongo tulionao na tunaokalilishwa na wakubwa zetu wa chama utasikia " kwa kuwa alikuwa ni mgombea wetu wa uraisi"lakini dr.slaa aligombea na hakuwa anaishi hivyo,yaani huyu lowasa natamani aondoke tu kwenye chama
Posho kubwa ni ngapi? Au ujinga ujinga tu
 
Kwani mchunga ng'ombe na ng'ombe nani hutangulia!!? Mwacheni mzee wa watu achunge ng'ombe wake.......!!
Note: Ng'ombe~Nyumbu
 
Labda protocol inayoangaliwa ni mkubwa kuliko wote[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Tunataka kwanza mwenyekiti wa ccm ahakiki PhD yake ndo tuanze kujadili hoja nyepesi kama hii
anzisha hiyo hoja yako kwingine..hapa jikite kwenye hili la chadema kichwa chini miguu juu.
 
MNAOLALAMIKA SIO WA KASKAZ TAFUTENI CHA KWENU
 
ni kipengele gani cha katiba ya Chadema kinachosema Lowasa akae meza kuu kwa sababu alipata kura nyingi?
 
Hivi ile project ya UKUTA haikupata matofali na cement za kujengea? mi nadhani chadema tuwaachie chadema tu
 


Mbona nyinyi Singer aliwanunua sisi hatulalamiki
 
Labda ana cheo kisichoandikwa ndani ya katiba, hatuwezi kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…