Lowassa abadili protokali ya CHADEMA mikutanoni

mi ccm jamani, yaani mnakera kuliko sumu ya mbu. Hamjadili vitu vya maana ka zinaenda wapi pesa za wahanga wa tetemeko kagera leo wiki ya 8 wanadamu wanalala nje tena kwenye mvua ya masika mnajadili vyama na protokali zake. Kweli kuna watu mawazo mgando saana Tz.
Haya, kanunua chama, sasa mbona mnaanza kuulizia pesa za ruzuku ya CDM? Mmeona hilo haligusi mtu mnafuatilia protokali. Nawajibu hivi; Mwenye fweza CDM ndo muungwana. Kama alitoa 10 bill kukiinua chama si mtu wa kuheshimiwa huyo?? Mtalia saana
 
Kama hawa ni wazee, maprofessor, wanasheria na wengine walishakuwa seniors serikalini, watakuwa wana uhakika na wanachokifanya kwenye hili

Nadhani upeo wako wa chini yao ndio unakupa shida kuelewa protocol yao hii!
 
Sioni hoja hapa maana kinachosemwa kingewekewa ushahidi tungeona hoja ina mashiko,mtoa hoja tuwekee ushahidi wa kile unachokisema tuweke kumbukumbu sawa
Ushahidi autoe wapi huyu, wewe mjibu kichochezi tu huyu kama alivyokuja kuchochea.
 
De facto owner of the party.
Hata Mzee Mwinyi na Mkapa wakiingia mkutano wa chama wanakaa meza kuu, wao ni akina nani kama sio wajumbe tu? Mheshimiwa Jakaya sijamtaja kozi alishatangaza hataki kuhusishwa na mambo ya chama wa hiyo serikali yenu.
 
Chukua hiyo kama training need ukawafundishe viongozi wa CDM protokali...
Acha kulalamika lalamika kama yule jamaa anayehitaji maombi..!
 

Kipawa cha Pekee kilianza July 26, 2015 ? Enzi zile kina Lema wanasema kumzomea ni heshma kwa Mungu kipawa hicho alikuwa nacho Nani ?
 
Lowasaa anakuwashae
Lumumba wakisikia jina Lowasa mashuzi kibao utadhani wamekula kunde, jina linawatisha sana, mkulu kwenye hafla ya che nkapa kusheherekea miaka kadhaa ya ndoa yake alipomuona Kiongozi Lowasa alipagawa kiasi kwamba katika hotuba yake story ya kwanza ikawa ni kumwagia misifa na saruti kibao kwake, Jamani acheni unafiki aliyepewa kapewa we utafurukuta utaponda lakini huwezi mshusha mahali alipo.
 
WanaJF ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe. CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani na mambo ya ndani ni makuu kwa upinzani wa ndani kwa ndani. Kengeza ni lenu msiokuwamo

Nyinyi mbona mambo ya CCM, CUF na ACT huwa mnayajadili sana?
 
n
ngojeni mpigwe bao kumbe mambo ya ovyo mmeanza wenyewe.
 
CCM ilishajengwa kwa Nondo na mawe. Jibuni hoja. Kwanini Lowassa anaingia wa mwisho kwenye kikao na kupokelewa na mwenye kigoda? Kwanini anakaa meza kuu, Sumaye viti vya kawaida?
Hata waingie Google hilo hawato lipata Mkuu zaidi ya matusi tuu
 
Upo Nje ya hoja Mkuu......

Maelezo ya nini wakati mtoa mada anahitaji majibu...
 
Kama Si upashkuna,wewe unachama chako kinachofuata katiba yake .Kwa Jirani Kuna kuhusu nini?
 

Tunataka kwanza mwenyekiti wa ccm ahakiki PhD yake ndo tuanze kujadili hoja nyepesi kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…