CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
Porojo!!!!!!!!Hatimaye mbunge wa Monduli Edward Lowassa kesho atatoa waraka mzito utakaoelezea namna ambavyo alifanyiwa kile alichokiita 'hila' na rais Kikwete.
Waraka huo unatarajiwa kulitikisa taifa na huenda ukaigawa vibaya CCM.
Baada ya waraka huo pia Edward Lowassa anatarajiwa kutoa rasmi hatima yake kisiasa huku kila dalili ikionyesha kuwa ataisambaratisha vibaya CCM kutokana na maamuzi atakayochukua.