Lowassa aamua kukimbia kuonesha kuwa yuko fiti

Hahaahha lowassa hili la kutaka kujibu hoja za afya yake kwa kukimbia iko siku ataanguka ndo wapambe mtakosa cha kusema anaumwa huyo
 
Kumbe nawewe ulifuata nyuki mapka yutyubu kisha ukaiona helikoputa ya Mh Rais?
 
Mtoa mada una utani wewee!
Hizo mbio hata paka akikukimbiza akukamata in seconds.
 
Punguza ukali wa maneno ndugu, angekuwa baba yako ungesema hivyo?
Watanzania tunapendana tusifikie huko!

Acha kushoboka wewe!!! Mbona una mahaba kupitiliza?? Na wewe mwanao angekuwa amelawitiwa ungethubutu kuweka kipaumbele kumtoa babu Seya kq Lowasa alivyofanya? Mkuki kwa nguruwe.......
 
Back
Top Bottom