Lowassa ni zaidi ya umjuavyo.Ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa sana ktk jamii hii ya Watanzania. Time will tell.Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa tahadhari kwa mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisema kuwa CHADEMA inamsubiri kwa hamu aingie katika uchaguzi wa Arumeru.
"Nataka kumwambia Lowassa kuwa tunamsubiri kwa hamu aingie kwenye hizi kampeni, akikanyanga Arumeru…akikanyaga Arumeru…akikanyaga Arumeru…tunajua kuwa yeye ni Mmeru aliyejibadili na kujiita Mmasai, tunajua madhambi yake mengi tutayafumua yote, tunaomba aje," alisema Lema na kuongeza:
"Juzi nimesikia kuwa mgombea wao katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio. Ndugu zangu haki haiombwi haki inapiganiwa, mwizi ni mwizi tu hata kama angekuwa baba yako, msiwaruhusu kabisa watembee usiku na kuhonga watu au kuiba shahada za kupigia kura.
My take ;Lowasa anamjua Lema alivyo ,kama hamjuwi....fatilia kesi yake ya kupinga matokea ndo utajua picha halisi
SOURCE:
TANZANIA DAIMA 19/03/2012
kivipi panua maelezo sio kutoa ushawishi ili tushawishikeLowassa ni zaidi ya umjuavyo.Ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa sana ktk jamii hii ya Watanzania. Time will tell.
Lowassa ni zaidi ya umjuavyo.Ni mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa sana ktk jamii hii ya Watanzania. Time will tell.
lema ameshaporomoka kisiasa yule hana hata uhakika wakuludi bungeni ndio maana anajitahidi kumalizia kale kanyumba kake pale sanawari
lema ameshaporomoka kisiasa yule hana hata uhakika wakuludi bungeni ndio maana anajitahidi kumalizia kale kanyumba kake pale sanawari
Hapo kwenye RED hizo ndiyo sera au?Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa tahadhari kwa mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akisema kuwa CHADEMA inamsubiri kwa hamu aingie katika uchaguzi wa Arumeru.
Nataka kumwambia Lowassa kuwa tunamsubiri kwa hamu aingie kwenye hizi kampeni, akikanyanga Arumeru akikanyaga Arumeru akikanyaga Arumeru tunajua kuwa yeye ni Mmeru aliyejibadili na kujiita Mmasai, tunajua madhambi yake mengi tutayafumua yote, tunaomba aje, alisema Lema na kuongeza:
Juzi nimesikia kuwa mgombea wao katika kikao cha ndani aliomba kujitoa katika kampeni hizi wakamkatalia, maji yameshawafika shingoni sasa aende akagombee ubunge huko Uingereza ndiko wanatoboa masikio.
Ndugu zangu haki haiombwi haki inapiganiwa, mwizi ni mwizi tu hata kama angekuwa baba yako, msiwaruhusu kabisa watembee usiku na kuhonga watu au kuiba shahada za kupigia kura.
My take ;Lowasa anamjua Lema alivyo ,kama hamjuwi....fatilia kesi yake ya kupinga matokea ndo utajua picha halisi
SOURCE:
TANZANIA DAIMA 19/03/2012
Lema'z another martin luther king jr
ritz at work,msaburi na makameronMkuu, naona umepotoka unafananisha Mlima Kilimanjaro na Mlima Nyashana wa Mwanza..
Martin Luther King jr. alikuwa anapanda juu ya gari huku katanua miguu huku gari linakwenda mwendo kasi wafuasi wake wanashangilia?
Lema, ana uwezo wa kumtisha Lowassa kwa lolote ndani ya Chadema kwenyewe kuna mapandikizi wa Lowassa.
Lema na Chadema yake wakishinda Arumeru east naomba modi kipindi wanipige BAN jukwaa la siasa milele, hii ni endapo Chama cha Deni na Majungu(CHADEMA) kitashinda.