ni vita ya kujiandalia
mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya
kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk
ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali
lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?
mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za
afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama
kupatikana kwake ni kwa njia haramu?
sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya
kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?
mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?
sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
money talks! Au co the 1 with a lot of money is going 2 win.
Vita yao itaishia kwa mmoja wao kuwa mgombea urais, 2015.sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
kwa hiyo bado nawe una imani kuwa atakayepitishwa kuwa mgombea wa ccm ndo kashashinda??ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?
mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?
sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
mmh!sio kila uchaguzi money talks,mfano hai ni ar.....ru mashariki,au mara hii umeshasahau!