Mkuu nimemfuatilia EL nimegundua kuwa ana shauku kubwa ya kuingia IKULUDuuh. Hivi uko serious? una uhakika na zile korosho zetu tunazodhulumiwa
kila siku kutakuwa na usalama kweli si ndo zitachukuliwa zote kabisa?
EL elimu bora kwa wa TZ inawezekana maji safi inawezekana
ku stabilize uchumi inawezekana, kupambana na majangili inawezekana.....
EL I KNOW U CAN
Nitajitahidi kumnadi kwa nguvu zangu zote, najua amezushiwa maana
baada ya kuondoka madarakani mambo yamezidi kuharibika. Kuna mambo
machache nitamuuliza kuhusu zao la korosho akinijibu nitamfanyia kampeni
za chini kwa chini kadri ya uwezo wangu. Nitaunda kikosi kazi kizuri
sana kumnadi vijijini.
NINA IMANI NA MUHESHIMIWA LOWASA ANAWEZA NA NI MCHAPAKAZI.

Ha ha ha ha Mimi sio yule bana.Vijisenti mkuu umepotelea wapi ? kwenye kumbi za starehe siku hizi sikuoni kulikoni. massage sijui unafanyia wapi ? Mhe Chenge mb. sio vizuri kupotea sana. jana nilikua na best wako Wasira tulikudiscus sana wewe na mhe. Juma Kapuya
Lowasa anaweza sana, kurudisha nidham ya uwajibikaji sehemu za kazi.Pia tuna muomba akiingia magogoni ahakikishe tembo wetu hawauwawi pia wabeba mabox wote wanafilisiwa.Lowasa tupo na wewe