Baba KimsJR
New Member
- Feb 21, 2012
- 1
- 0
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Mkuu Tshs. 1b kweli kwa Arumeru tu? Kila mpiga kura alipata kiasi gani? Mimi najua takrima za kitanzania huwa ni 5000 ikizidi sana 10,000.00. Kwa billion moja mbona atakuwa amemlipa kila mwananchi wa Arumeru na chenji kurudi?inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Lowassa anajifilisi bure...hatakuwa Rais wa nchi hii.Hatuwezi kuongozwa na mwizi na muuaji kama yeye
Lowassa anajifilisi bure...hatakuwa Rais wa nchi hii.Hatuwezi kuongozwa na mwizi na muuaji kama yeye
yule anayegombea ndiye mkwe wake au?
Lowassa anajifilisi bure...hatakuwa Rais wa nchi hii.Hatuwezi kuongozwa na mwizi na muuaji kama yeye
Hivi huo wivu wenu na chuki zenu binafsi dhidi ya EL hamuziachi?
inasemekana Mh. Lowasa, anahusika kwa kiwango kikubwa kuhakikisha kuwa Sioi Sumari anagombea Arumeru na kunyakua jimbo hilo ili ajiimarishe kisiasa kuelekea uchaguzi wa 2015, kutokana na mashuhuda wetu wa sirini lowasa alitoa Tshs 1b kama takrima kwa wapiga kura ili zitumike wakati wa uchaguzi
Kama hatakuwa rais ataweka kibaraka wake awe rais na atahakikisha wenyeviti wote wa ccm wanamsujudia na wanimba wimbo wake.....!