Lowasa na CHADEMA wanatofautiana kauli

Lowasa na CHADEMA wanatofautiana kauli

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,569
Reaction score
16,017
Je Mh Lowasa na CHADEMA wanatofautiana kauli?
Mfano:

  1. Lowasa akisema naiomba serikali;
  2. Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Je kwa nini wanakinzana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
 
Mbowe: Tutaitisha maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima
Lowasa: CHADEMA kimegraduate kutoka uanaharakati hadi chama cha siasa
 
Je Mh Lowasa na chama mfu chadema wanatofautiana kauli?
Mfano:

  1. Lowasa akisema naiomba serikali;
  2. Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Je kwa nini wanakindhana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
Ushauri wangu kwako ni huu: Muda unaoutumia humu jf, ni bora ungeutumia kujifunza kiswahili.

Neno WANAKINDHANA halipo kabisa katika kamusi ya kiswahili. Au mwenzetu, una kithembe hadi vidoleni??
 
Je Mh Lowasa na chama mfu chadema wanatofautiana kauli?
Mfano:

  1. Lowasa akisema naiomba serikali;
  2. Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Je kwa nini wanakindhana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
Haujazingatia kanuni za uhandishi kwa 72%.sijui ulienda shule kusomea ujinga?!
 
Je Mh Lowasa na chama mfu chadema wanatofautiana kauli?
Mfano:

  1. Lowasa akisema naiomba serikali;
  2. Mbowe na genge lake wanasema tunaitaka serikali ifanye...
Je kwa nini wanakindhana? Je Mh. Lowasa kwanini anatumia unyenyekevu ktk kuwasilisha au kukosoa serikali?
Pale unapotaka kumfyatua adui ila unakuta bunduki haiko na risasi
 
Mbowe: Tutaitisha maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima
Lowasa: CHADEMA kimegraduate kutoka uanaharakati hadi chama cha siasa
Unakujakuja, ongeza juhudi, umiza kichwa, pambana, one day utatoka boss, speed yako inaridhisha
 
Utanzania hutumia kuimba wala siyo tutaka hata kama unanunua hata kama ni haki yako Mbowe na genge lake wanaiga kutoka nje
 
Mudawote utaumia sana CCM hata mkizuia mikutano ya vyama vya upinzani Chadema IPO Na itaendelea kuwepo kama ni Ufu hata CCM ni Mfu kwani imeshindwa kuwaletea maendeleo nchi hii Kwa miaka 54.
 
Tz kwa sasa hatuna chama cha upinzani. Tuna chama tawala tu ambacho ni CCM! Wengine ni waganga njaa
 
Back
Top Bottom