LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

Amani amani inayozungumzwa na CCM ndiyo hii? tizama yanayojiri ktk uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki

Video kwa hisani ya CHADEMATV youtube.
 
Last edited by a moderator:
Nimepita page 7 za hii thread naona hata magamba wa JF wameingia mitini wanasubiri thread zinazomuhusu zito ili wachonganishe
 

He! Wewe si ndiyo KENGE kiongozi? Uke mbele ya MAKENGE wote hapa JF.
 
Mi ni cdm damu. Hata mi ningekuwa arumeru ningeenda kumsikiliza, kwa udadisi tu na kujua anaongea nini. Hivyo wengi walienda kumshangaa tu kutokana na yale yanayomzunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…