LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

Maneno matupu hayavunji chawa,....naisubiri tarehe tu.
 
Maneno matupu hayavunji mfupa mkuu...inawezekana ukawa gamba soma post ya ARUMERU NA KOTI LENYE CHAWA..
 

Hapo kwenye red kumbe ni another hearsay? Nilidhani ulikuwepo?
 
Reactions: FJM
Mmmmm!! sidhani kama ameunguruma Mbona vipicha vinaonekana kuzome rangi ya Kijani!!!! nadhani ameumbuliwa kwa vipicha hivi Mkuu imekula kwake
 

picha ulizoweka za barabarani wakati lowassa anatoka upande wa pili ni ofisi ya chadema ebu kuwa wazi mbona mmeshindwa kuanza mkutano wenu pale sokoni saa nane ?
 
Vp jamaa ameshindwa kumnadi mkwe awe vizuri?
 
ccm kwishney
 
Lowasa kachoka jamani tuwe wakwrli sauti kwishneKwishney Lowasa
 
Lowasa amemnadi SIOI kwa kusema atamaliza matatizo ya maji na ardhi.

Mkapa amewaponda wapinzani kuwa hawana lolote na hawataleta maendeleo

yoyote Arumeru.

SOURCE: ITV habari


My take: ushindi kwa CCM uko wazi aiseeeeee!
 
Ni kweli hapo siyo patandi ila ni kikatiti ambako mkutano ulimalizika saa nane na Lowasa pamoja na makanda wengine walizomewa sana Mpaka green guard wakashuka kwenye magari polisi wakaingilia kati, polisi ikabidi wakae kati upande CCM na uapnde mwingine CHADEMA.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…