Ungekuwepo maeneo ya Kikatiti leo usingesema uyasemayo. EL kautubia watu kiduchu wakiwepo waliotoka Monduli kama ilivyo ada kwa ccm kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza mikutano yao.
BAada ya kampeni alizomewa vibaya na wananchi wa Kikatiti, askari ndo waliomwokoa kwani ilibidi waingilie kati na msafara ukarudi usa river.
Chini ni baadhi tu ya picha za zomeazomea hizo
View attachment 50546
View attachment 50549
View attachment 50550
View attachment 50551
Msafara wa EL wakitoka kikatiti kabla ya zomeazomea
View attachment 50552
Watoto wakuandamana kuunga mkono zomeazomea hizo
View attachment 50554
Asante Makene tuko pamoja
[h=6]Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA[/h]
Ushasahau kuwa hili ni gamba? Ati 'ataandamana na Sioi mpaka kwa Waziri wa Ardhi blah blah blah'. Kwa nini hakuandamana naye siku zote? Si mkwewe?
acha presha mambo yote kuwa adharani saa mbili usiku! usikae mbali na tv yako
Ni kweli ni mwanasiasa Maharufu kwa sababu ananuka damu za watanzania kutokana na ufisadi wake. Halafu ni muheshimiwa kwa nani labda mkewe na wachumia tumbo kama wewe. Magamba bwana hovyooooo!!hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA
Wewe ni mbea sana wewe, sijui ni mzee au kijana ni mnafiki sana wewe, wewe ndio umetoka kurusha picha za lowasa kwenye post ingine uko wakati unafahamu kabisa picha zile ni za kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana, kwa nini watu wengine mnapenda kula bila kutoa Jasho.
Wewe unadhani utaishi kwa kudanganya danganya mpaka lini??
acha presha mambo yote kuwa adharani saa mbili usiku! usikae mbali na tv yako
Watanzania ni cheap sana!
Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA
Hapa ulipaswa useme CCM ndio cheap sana na sio Watanzania, utakuwa hujatutendea haki.Watanzania ni cheap sana!