Hivi leo dr. Slaa alimcndikiza lowasa leo?

Taifa la matumaini kwi kwi kwi.
Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa Katibu mkuu msaidizi Zanzibar Salum Mwalimu Mheshimiwa Lowasa atalihutubia taifa kupitia kituo cha Azam tv.

Taifa lipi?
saa ngapi? ila bora wangechukua itv kwa maana ya coverage. azam wabaguz