anaulizwa ulisema kama akichaguliwa fisaji utatoka CCM iweje umfuate Loawasa .
jIBU .Sina tatizo na Magufuli yeye alipatikana kwa nafasi kumdondokea tu , Lakini ukisoma hansadi utaona kuwa kuna makosa ya aina mbili kuhusika mojakwa moja ama kuwajibika kwa niaba ya serekali na Lowassa amewajibika kwa kipengele cha pili
Swali pamoja na kukaa ccm mda mrefu ni kama wanakudharau na hawasikilizi maoni yake.
Ni kweli hata Mkapa alisema kuwa viongozi afrika hawatumii wastaafu.Lakini si sababu ya kutoka ,kikubwa ni mfumo wa uchaguzi ndani ya ccm yaani mtu akikutaka anaweka jina mfukoni,simlaumu mwenyekiti ila ni mfumo wa CCM , NA SI LAZIMA JINA LIOKE KWenye karatasi hata kichwani tu.
swali-umeamua kuhama ama umeshawishiwa maana zilianza tetesi kwanza-Si mimi tu wapo wengi walitajwa mara Bilali , Pinda nk. Ila mimi niliona kama naweza kusaidia mageuzi ya nchi yetu.
swali je hao wengine vipi-Siwezi wasemea japo Mwandosia anasikika lakini usipomuona makamu wa raisi, usipomuona waziri mkuu haijakaa vizuri.
Je umeahidiwa chochote? Hapana mimi kama che-Gwevara ,silipwi na sijawa mwanachama ni kama mshauri tu precisely-kama watu wanasikiliza ushauri ni nafasi muhimu kuliko zote.wengine wanasema waziri mkuu-wakumbuke katiba.
Rais ni Lowassa ,Makamo wa rais yupo. Sasa hawa UKAWA bado hawana watu wengi wenye uzoefu hivyo lazima tuwasaidie UKAWA
ni wazi UKAWA itashinda -hakuna namna nyingine yeote kama uchaguzi utakuwa huru si idadi ya watu bali mioyo ya wafuasi wetu-lazima tushinde