Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Labda ulikuwq mtoto au hujazaliwa. Mrema alifukuzwa CCM for your information
Hapo umenipata maana mwaka 1995 nilikuwa mtoto wa miaka 40.
Labda ulikuwq mtoto au hujazaliwa. Mrema alifukuzwa CCM for your information
Duh mrema alifukuzwa? Mrema gani?Labda ulikuwq mtoto au hujazaliwa. Mrema alifukuzwa CCM for your information
Usilinganishe NCCR ile na UKAWA hii utakuwa unajidanganya ndugu yng
Hivi kwanini ccm mnakua na IQ ndogo kiasi hichi? Yaani uchaguzi wa 2015 ufananishe na wa 1995? Kipindi like CCM ililelewa na Nyerere lakini Leo ni chama la familia.Kuna tofauti kubwa Leo na miaka 20 iliyopita.LOWASA JIFUNZE KWA MREMA:
Mwaka 1995 ni mwaka ambao chama cha upinzani cha NCCR Mageuzi iliaminika kitakitoa madarakani Chama Cha Mapinduzi kwakuwa kilionesha upinzani mkubwa sana na kuungwa mkono kulikokithiri hata gari la mgombea wake, Ndugu Mrema kusukumwa na wanachama kwa mapenzi yao
Baada tu ya kuanguka kwenye uchaguzi huo Mh. Mrema alipata maradhi na hadi sasa afya yake haijakaa sawa, kila kukicha madaktari wanagundua tatizo jipya kwake. Mh. Mrema amefilisika kisiasa hali iliyomsababisha kugombea nafasi ya Ubunge badala ya Urais kwakuwa hata afanyeje hatoweza tena kupata ushabiki
Mtu aliyeweka rekodi ya kujiuzuru wadhifa wake, mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania, mtu aliyeondoka kwenye chama chake na kujiunga kwenye chama kingine cha upinzani, hali kadhalika mtu mwenye afya dhaifu anayefanana kila sifa na ndugu Mrema naye anakwenda kugombea nafasi ile ile ya Urais.
Tofauti kubwa iliyopo kati ya Lowassa na Mrema ni kwamba Mrema aliondoka CCM akiwa shujaa na mtetezi wa haki za wanyonge, aliondoka mwenyewe baada ya kupishana misimamo na chama chake cha Mapinduzi. Lowassa ameondoka CCM baada ya kukatwa jina huku akiwa na kashfa za wizi wa mabilioni ya shilingi na kujilimbikizia mali za umma ikiwemo ranchi za Handeni na Mkata
Kitu kinachokatisha tamaa ni kuona chama kile kile ambacho hakina wanachama wengi kama ilivyo kwenye Chama Cha Mapinduzi, CCM chenye wanachama na uongozi wa chama kila baada ya nyumba kumi, mashina na matawi kila kijiji nchi nzima ndicho kinachokwenda kupeperusha bendera kwa Waziri huyo aliyejiuzulu.
Historia inakwenda kujirudia kwa mara nyingine tena, yaliyotokea 1995 inakwenda kujirudia tena 2015 baada ya miaka 20. Mwenzake keshanyolewa, yeye anapaswa kutia maji.
Pole sana ndugu EL na wenzako wanaokushauri negative.
Mimi nikisikia hawa ukawa wanashabikia nawashangaa kabisa nchi hii kuna kundi la maharamia wanaitolea macho gas dhahabu tunawajua kwa majina na ndio wanampa jeuri huyu raisi jamani watanzania mtauzwa mchana huyu mgomea ni kivuli cha uraisi kati ya kundi fulani
Hivi kwanini ccm mnakua na IQ ndogo kiasi hichi? Yaani uchaguzi wa 2015 ufananishe na wa 1995? Kipindi like CCM ililelewa na Nyerere lakini Leo ni chama la familia.Kuna tofauti kubwa Leo na miaka 20 iliyopita.
Hayo yte twayajua w ucpoteze mda bnafc saiv nataka mgonjwaan mana anaweza consider ma hospital 7b tumechagua wasio Wagonjw 50 years nothing was done
LOWASA JIFUNZE KWA MREMA: