Lowasa jifunze kwa mrema

Lowasa jifunze kwa mrema

Ambacho lowasa kawemo kea miaka 39 na leo anataka kuwaletea mabadiliko?

hata asipo leta mabadiliko, ccm ikae kwanza pembeni ijitafakari, chama gani kinacho toa viongozi wasio jitambua kuwa wana mamlaka?? nao wana lalamika kama mimi wa lalago?. hapana ccm mbali na kutudharau mmetuhaibisha vya kutosha ilibidi muone haibu hata msishiriki uchaguzi wa mwaka huu. Miaka 39 mmeishi naye hamkuwahi kumtowa kasoro, nongwa imekuja alipo tofautiana nanyi!!!!!!!!!!!!,.............. alafu mseme mnayo nia ya dhati ya kupambana na mafisadi?????????????????. lowasa ntamchagua si kwamba ni msafi au nategemea makubwa kutoka kwake la hasha, bali nataka ailazimishe ccm ikae pembeni kwa amani na hivyo i tatafakari na kuzaliwa upya. CCM MUST GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO................................
 
Back
Top Bottom