Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

Hana jeshi lakn anaogopwa kuliko mtu yeyote hapa tz
 
Jamani miaka kadhaa nyuma tulikuwa tunaiponda ccm na mafisadi wake wakiongizwa na mh.ngoyai Lowasa na wenzake ambao wamekuwa kama taswira ya ufisadi hapa nchini,tulimkataa akiwa ccm kuwa ccm ni mafisadi na wamechakachua maoni ya wanachi kupitia katiba na yeye lowasa alikuwemo na hakutoa mchango wowote juu ya katiba hiyo na ufisadi wa mawazo ya wakoloni weusi wa ccm.wengine wakidai mh.huyu ni mgonjwa hawezi ongoza taifa linaloitaji mtu mwenye afya safi na shupavu.Leo kahaamia CHADEMA yote tumesahau amegeuka kuwa malaika kutoka kundi la shetani.Kweli watanzania tumerogwa na kamwe hautokuja pata maendeleo daima dumu.Hee mwenyezi Mungu pitisha ugonjwa wa EBOLA huku ili kizazi hiki cha mazombie kipotee chote tupate vijana wapya wanye mapenzi na uchungu wa Taifa letu.Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Nyerere,Dr.Slaa,Sokoine na Warioba.
 
lowasa-"hallow?.
jk-hallow hi?.
lowasa-vipi tena rafiki,mbona umekiuka makubaliano asee.

jk--"ingekua ngumu sana,ujue wale jamaa wamekuchafua sana bana,utasababisha tuanguke".

lowasa-"sasa inakuaje,unaachaje".

jk-"ok,sasa ngoja nikupe mchongo,hii inaitwa pata potea,hamia Ukawa,hakikisha huo umoja unakua flooded na makada wetu to the maximum".

lowasa-"itawezekana kweli bro?".

jk-"mchezo mdogo,mi naagiza kukuwekea kauzibe,wataingia line hook and sinker we utaona".

lowasa-"ha ha ha,bro sikuwezi kwa mbinu asee".
hizi hadithi za mumro na wewe usituletee hapa
 
Mkuu utakufa kwa presha make kila baada ya dakika 10 unakuja na uzi mpya, ushauri wangu kwa wana CCM tijikite sana kumnadi mgombea wetu, kwa sasa tunacheza ngoma ya UKAWA, kwa sasa chochote kile kitakacho ongelewa kuhusu Lowasa hakibadilishi chochote kile, ingekuwa USA ingeweza saidia ila huku ni kazi bure hata tungekuja na sarakasi gani hazitabadilisha watu kamwe.

Nilishawambia humu Jamvini hizo propaganda zenu chafu dhidi ya Ukawa na Lowasa ndizo zinazotufanya tuendelee kuwa akilini na midomoni mwa wananchi, badala ya kumnadi mgombea wenu mmekalia ooh Lowasa mara Ukawa imekua hivi, ila nawashukuru wana Mbeya kwa kitendo cha leo, mjiandae Mwanza itakua ni Dar+Mbeya+Arusha kesho.
 
Today Mbeya and the people together has made a remarkable event!
I salute you all and be blessed for welcoming our future president, His Excellence Lowassa, the only one, the special one and the greatest legend of Tanzania. In Lowassa I believe our country will remain united, thank you mr. chairman Mbowe for your bestowed and tireless efforts to liberate our mother Tanzania from black colonialists CCM! You are warmly welcome to Arusha tomorrow mr. President Lowassa
 
Mkuu hiyo michezo wamecheza kina Slaa na Lipumba wameshindwa itakuwa Lowassa, nahisi akidndelea kuna siku atachezea selo, aimbe vixuri piiipooooz!!

chief, this time CCM hawapiti... na mwenyekiti wenu analijua hilo fika, ila anawang'ong'a tu.

anaijua vizuri sana mizizi ya "rafiki" yake ndani ya chama na "system' kwa ujumla. kama wewe ni mtu genuine na una ndugu zako au rafiki zako wa karibu wako kwenye "system" watakupa stori yote.

jiandaeni tu, chief.
 
Mkuu hiyo michezo wamecheza kina Slaa na Lipumba wameshindwa itakuwa Lowassa, nahisi akidndelea kuna siku atachezea selo, aimbe vixuri piiipooooz!!

Mambo hayo hayapo tena ndugu, kumbuka kuna The Hague
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

Mbona hujaalika na kigodoro sasa kunogesha hiyo mipasho yako? Ukija tena usisahau na madela//madira
 
Kuna wakati inabidi tuwe serious!! Huyu mwenzetu hayupo vyema,inawezekana kabisa kuwa amechanganyikiwa,tunaweza kum attack hapa kumbe mwenzetu anahitaji msaada,kama kuna yeyote anayemjua au aliye karibu naye tafadhali amuwahishe hospitali iliyo karibu,au ani PM kwa msaada wa awali.

Yupo ok tumtafutie tu shanga na pedo ana hamu ya kucheza mduara
 
Jamani miaka kadhaa nyuma tulikuwa tunaiponda ccm na mafisadi wake wakiongizwa na mh.ngoyai Lowasa na wenzake ambao wamekuwa kama taswira ya ufisadi hapa nchini,tulimkataa akiwa ccm kuwa ccm ni mafisadi na wamechakachua maoni ya wanachi kupitia katiba na yeye lowasa alikuwemo na hakutoa mchango wowote juu ya katiba hiyo na ufisadi wa mawazo ya wakoloni weusi wa ccm.wengine wakidai mh.huyu ni mgonjwa hawezi ongoza taifa linaloitaji mtu mwenye afya safi na shupavu.Leo kahaamia CHADEMA yote tumesahau amegeuka kuwa malaika kutoka kundi la shetani.Kweli watanzania tumerogwa na kamwe hautokuja pata maendeleo daima dumu.Hee mwenyezi Mungu pitisha ugonjwa wa EBOLA huku ili kizazi hiki cha mazombie kipotee chote tupate vijana wapya wanye mapenzi na uchungu wa Taifa letu.Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Nyerere,Dr.Slaa,Sokoine na Warioba.

Mbona umemsahau Lipumba kwenye list ya wabarikiwa. Weka akiba ya maneno utakapotambua Slaa amekamilisha mzunguko wa kisiasa!
 
Kipau mbele mojawapo cha Lowassa ni kuongeza mshahara kwa walinzi wa milembe ili waache kuzembea maana yake idadi ya vichaa wanaotoroka milembe inazidi kuwa kubwa mitaani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom