Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

Wewe gamba utaweweseka sana lowasa ndio rais wa watanzania anayesubiri kuapishwa
 
siasa sio unavoanza ila ni namna unavomaliza mungu ibarik tanzania
 
Huyu mtu ameanziasha thread karibu tano kwa mfululizo akitoa maneno yanayoonesha kuopaniki. Msadieni jamani!
 
Kama hiyo nyomi yote imenunuliwa, basi this guy ni triones

Ccm wataishia kusema kanunua watu, unajiuliza huyo jamaa ana hela kiasi gani kununua nyomi lote hilo,kanunua la dar,mbeya na kesho arusha na mwanza sasa huyu jamaa ana pesa kiasi gani? Ccm wamekosa hoja kabisa.
 
Ccm chaliiiiii, huu ni mwaka wa mageuzi. Kuchagua ccm ni sawa ya kujitia kijiti.
 
we mleta uzi, unaonekana una kasura kabaya kama hako ulchoweka kwenye avatar yako..
mpaka kampen iishe utakuwa umeshatokwa sugu kwenye vidole vyako.
manyinyiem mtatokwa povu sana mwaka huu
 
Kuna wakati inabidi tuwe serious!! Huyu mwenzetu hayupo vyema,inawezekana kabisa kuwa amechanganyikiwa,tunaweza kum attack hapa kumbe mwenzetu anahitaji msaada,kama kuna yeyote anayemjua au aliye karibu naye tafadhali amuwahishe hospitali iliyo karibu,au ani PM kwa msaada wa awali.
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.

Elezea vizuri, waliompiga stop ni akina nani na walimpiga stop akiwa njiani kuelekea kwenye tukio au ni kwenye tukio lenyewe?
 
Ilikuwa full stop, kwa waziri mkuu mstaafu aliyejiuzuru.
Wakati mwingine dola haitazami sura!

Yani alikosa hata washauri wenye busara kumshauri kuwa ule ni msiba, watu wanamajonzi na siyo uwanja wa kampeni za kisiasa??? Jamani mambo mengine humwonyesha mtu tabia na uwezo wake wa kufikiri
 
Anahisi nchi watu wanaangalia maigizo yake ..tumempa honyo kwa kumbip kama yuko tayari atupigie
 
lowasa-"hallow?.
jk-hallow hi?.
lowasa-vipi tena rafiki,mbona umekiuka makubaliano asee.

jk--"ingekua ngumu sana,ujue wale jamaa wamekuchafua sana bana,utasababisha tuanguke".

lowasa-"sasa inakuaje,unaachaje".

jk-"ok,sasa ngoja nikupe mchongo,hii inaitwa pata potea,hamia Ukawa,hakikisha huo umoja unakua flooded na makada wetu to the maximum".

lowasa-"itawezekana kweli bro?".

jk-"mchezo mdogo,mi naagiza kukuwekea kauzibe,wataingia line hook and sinker we utaona".


lowasa-"ha ha ha,bro sikuwezi kwa mbinu asee".
 
Jana Lowasa wamemjibu kwa tamko kali hakuna kuzika! Unajuwa hivyo ndivyo watu wanafanya kazi, wewe unataka kutumia msiba kama sehem yakupiga kampeni ipo ok mzee? Mh mbatia na wewe umelewa vijisenti? Hehehehe in shot hamna pakwenda malipo ni hapa hapa duniani. Mtaniambi.
Halafu we Zombokoko naona unaandika status za kijinga kama ulivyo.Muda wote unapost pumba tu Lowasa ndiye Rais wako ajaye
 
Kwa jeshi la polisi nchini kuzuia wapenzi na wafuasi wa vyama vya siasa kuwasindikiza wateule wao wagombea wa kiti cha urais na kuzuiwa kwa msafara wa Lowassa kwenda kuhani msiba wa mzee Peter Kisumo leo ni ishara kwamba Rais Jakaya Kikwete anahofia uwepo wa Lowassa msibani hapo. Kwa maoni yangu kama ningekua Rais wa nchi basi kujumuika na wananchi na familia na jamii nzima ya Watanzania kwa wingi wao na tofauti zao za kidini, rangi, kipato, itikadi na hata asili zao ndio jambo ambalo ningelenga kulionyesha leo kwa kutumia msiba huu kuukuza umoja wetu wa kitaifa na kuchochea amani inayoweza kustahimili tofauti zetu kwa kuuimarisha U-Tanzania wetu.

Hapa pangekua mahali ambapo utamaduni wa Kitanzania kujumuika pamoja kushiriki "sherehe" ya mwisho ya mwanadamu, Mtanzania mwenzetu, tena aliyeishi kwa kulihudumia Taifa, hakika uwingi wowote hata milioni zote takribani 45 za Watanzania wangepaswa kuruhusiwa kuhani msiba wa Mtanzania mwenzao wakiwemo wapinzani na wafuasi wa Lowassa, pia na Lowassa mwenyewe.

Busara ndio itatamalaki siku zote, mabavu, hofu na ujinga hazijawahi kuwa silaha za kutawala umma, hata siku moja. Hapa leo tena Rais amepoteza alama moja zaidi katika kushawishi Watanzania si tu kuchagua chama chake cha CCM katika uchaguzi mkuu utakaofanyika wiki chache zijazo bali kuukumbuka utawala wake kama utawala uliojumuisha, wenye mamlaka na wasionayo, wakubwa kwa wadogo, wapinzani na wana CCM.
 
No matter how stricter policcm become, CCM is sailing in a rocking boat. It'll remain to be recorded in history that this party disintegrated in 2015
. Come Magufuli or someone else all economic criminals will be put on trial. Mark my words.
Watu wanaona ila wanjitia upofu, ila muda si mrefu, ukweli utajulikana.
 
JK aliona haaibu kwa kwa kitendo alichokifanya dodoma....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom