Lowasa: Hakuna wakuni kata jina ccm.

Lowasa: Hakuna wakuni kata jina ccm.

lubu-kato

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
492
Reaction score
101
Katika taarifa ya habari ya saa moja na nusu leo nimemsikia waziri mkuu aliyejiuzuru kwa kashfa ya richmond amesema kuwa hakuna wa kumkata jina na aoni sababu ya kukatwa jina! Alianza kazi mwaka 1977 amekua mtumishi wa chama hicho na hajawah ajiliwa serikalin! lowassa Ameyasema hayo alipokua ruvuma leo! Hii itanogesha upasukaji na mgawanyiko wa chama hicho kama ilivyotokea kwa KANU! na kutoa mwanya wa wapinzan kwenda ikulu!
 
Kumbe bado anaendelea tu kutishia nyau
 
lohasa yuko sahihi. hakuna mwenye uwezo wa kupambana naye ndani ya ccm kamwe. alishahonga wajumbe karibuwote wa NEC na mkutano mkuu wa ccm.
 
lohasa yuko sahihi. hakuna mwenye uwezo wa kupambana naye ndani ya ccm kamwe. alishahonga wajumbe karibuwote wa NEC na mkutano mkuu wa ccm.

Aje auchukuee urais basi kama hakuna wakumkata. Mbona hadi leo bado anazunguka wakati alikuwa wa kwanza kuchukua fomu.
 
Pesa ni suluhisho la mambo yote, mwenye hekima wa zamani alipata nena.
 
Mtu kama el! Hafai kua kiongoz wa taifa hl! Kama anadilk kusema maneno mazito kama haya kuwa yy n kama hakuna wakumtishia nyau ndan ya ccm! Mm nafkr wakae pemben wamalzane huko!
 
Aje auchukuee urais basi kama hakuna wakumkata. Mbona hadi leo bado anazunguka wakati alikuwa wa kwanza kuchukua fomu.

Wee huon kama ameanza kampen? Wadhamn alshapata muda tu!
 
Hakika ntajua CCM ni chama dhaifu kama kinatishiwa nyau namna hiii na kikakubali kumpitisha kila anaekitisha
 
I have a feeling kuwa Lowasa anaonewa, Hii inadhihirika hata humu jamvini, kashfa za ufisadi zilizofanywa na viongozi mbalimbali wa ccm waliotia nia ziko nyingi sana, kwa nini watu wanazungumzia sana richmond na kusahau hata escrow ya juzi? Mie nafikiri kuwa ufisadi ni ufisadi tu na yeyote aliyehusishwa na ufisadi wowote hafai kuwa rais. Hata yule aliyechakachua katiba yetu hatufai.
 
Lowasa ataisambaratisha ccm mwaka huu. Kuna siku hii kauli watu wataikumbuka kabla ya octobar
 
Ccm wakimkata lowasa basi nawapa kura ukawa bila kinyongo
 
Hivi yeye lowasa ni nani mpaka aseme hakuna wa kumkata jina,?kwanini anaona yeye ndio pekee anaefaa kuwa rais na si mtu mwingine yeyote? Je anamtishia nani kutangaza maneno haya kwenye vyombo vya habari? Ngoja tusubiri tuone kama ccm wataogopa hivi vitisho vya huyu fisadi. Haiwezekani mtu mmoja tena fisadi atishie nchi nzima kiasi hiki.
 
Ccm wakimkata lowasa basi nawapa kura ukawa bila kinyongo

Mkuu hebu nielemishe kidogo, hivi ni kwanini hamtaki vigezo 13 viangalie dhidi ya edo?
 
Back
Top Bottom