Msaranga
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 956
- 229
Kwa kweli naomba niwaeleze watanania wenzangu kuwa lowasa ni chaguo la mungu popote pale aendapo watu wanamkubali.kashfa kibao wanazompachika zinajipangua zenyewe.mabaya yote juu yake yanayopangwa yanafichuka.ni MTU sahihi kuwakomboa watanzania.ni mcha mungu .kwenye kampeni zake ni mataarabu sana hatukani MTU anatoa hoja.kila laheri rais wetu lowasa