Lowasa bhana!

Lowasa bhana!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Huyu jamaa angeupata Uraisi si hali ingekuwaje kwa maana anavyopenda ukubwa!

unnamed.jpg
 
anapenda ukubwa baraaa..ukitaka kuamini waulize aliofanya nao kazi
 
Grow up dude..!!! hayo mambo yashapita, endelea kusaka doo!! wewe vipi???
 
Asisahau wanywa viroba wenzie wanasubiri eti atoe tamko ..teh teh teh!
 
Ndio maana wazungu huchukua muda mfupi sana kijua tabia ya mtu ikoje kupitia maandishi au maongezi yake.
 
Siwaabudu ila ndio njia pekee wanayotumia kujua tabia ya binadamu kwa urahisi. Tofauti na sisi huwa tunapenda kupeleleza kwa watu.

Kuna mwenzako mmoja tena ni mtangazaji wa redio kabisa(ile Clouds FM), siku moja yupo hewani alikuwa anaongea utumbo ambao siwezi kusahau mpaka nakufa, eti alikuwa anasema,"Wenzetu wazungu mtu akimaliza kujisaidia anaangalia kinyesi chake kujua afya yake inaendeleaje".

Yaani aibu niliona mimi. Nikawa najiuliza nani kampa kazi ya utangazaji huyu poyoyo!
 
Arguing with a fool means there are two fools.
 
Back
Top Bottom